Prolific 🏁
40.6K posts

Prolific 🏁
@Trigger21_
Agronomist || Artist || Cinematographer || Farmer || sneakerhead || Hustler

Wewe unaona influencer wa betting ameweka stake ya 500k. Wewe kichwa kichwa unachukua salary yako ya Tamisemi yote unatumbukiza kwenye mkeka. Kiuhalisia 500k aliyoweka yeye hajatoa mfukoni kwake but wewe 500k umetoa mfukoni kwako then unakuja mtandaoni unasema akiliwa mmeliwa wote.


My crush is getting married and I had to congratulate her kinafki 💔 Lakini kilichoniuma zaidi sio ndoa… ni vile ameongeza neno “dear” kwenye message.Hii kitu imeniuma hadi kwa mitochondria 😂



Samsung ni android mpaka pale utakapo taka kubadilisha kioo chake 😅

Hivi wasanii wa 🇹🇿 wakitoa Album zao huwa zina Intros na outros kweli😂

Hivi Prof ana album ngapi?

Nilikua nimeianza siku vizuri mpaka nikakutana na mtu akaniambia : "Maisha magumu uliyo yapitia hayakupi guarantee kwamba lazima utafanikiwa "
















