Mchambuzi Wa Mchongo ⚽

3.9K posts

Mchambuzi Wa Mchongo ⚽

Mchambuzi Wa Mchongo ⚽

@Ganslay_tz

Sports Comedian | Stand up comedian | Official performer at CHEKA TU | Home Boy | Instagram : @ganslay_tz

参加日 Ekim 2021
148 フォロー中18.9K フォロワー
固定されたツイート
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
SUPPORT VYA NYUMBANI🙏🏽!! Hizi ni T-shirts Brand yangu #HomeBoi Only 25K Tu!! ✅ Call: +255 761 466 447 ( Help Me To Retweet , Iwafikie Watanzania Wote. )
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet mediaMchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Indonesia
6
37
119
21.6K
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ がリツイート
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Babalevo wa kigoma mjini! 🙌 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
1
1
87
6.6K
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
KAHAMA COMEDY NIGHT! tukutane Miligo Hall 04/04/2026 ( Mkesha Wa KAHAMA )
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Filipino
0
0
6
351
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
Kwa mfano wewe ni kocha uko na hawa wachezaji , ikapatikana penalty dakika ya mwisho kabisa mpira umalizike . Nani utampa apige hiyo penalty?! DEPU au GUEYE?!!!
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Indonesia
11
5
93
4.8K
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
Kama hupendi njia unayopita, Anza kutengeneza njia nyingine.
Indonesia
0
0
6
305
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
Humu Twitter ( X ) kila mtu ni JOBLESS! Kutana nao kwenye Maisha ya Uraiani sasa oyaaaa😁😁
Filipino
17
15
101
3.7K
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
KWA ALLY ABDALLAH ( Ubungo ) Kwa Wakali Wa Physics uliwahi kwenda kwa huyu mwamba pale Ubungo?!! Unakata Circular Motion huku umesimama pamejaa?!!! 😁😁 Halafu unakuja kuishia kuwa konda dah!!! TAJA CHIMBO LA TUITION ULIWAHI KWENDA , Kusaka Elimu😁
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Indonesia
1
0
8
653
Kante
Kante@MkulimaKante·
@Ganslay_tz Unataka kusemaje Mchambuzi😁
Eesti
1
0
2
154
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
Mlioangalia hili Tambara vipi ?!! Au nitapoteza tu Muda wa Kubet?!!😁
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Indonesia
1
0
10
861
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ がリツイート
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO Wewe ni mwanaume. 1. Weka afya yako kuwa kipaumbele 2. Fanya mazoezi kila siku hata kama ni kidogo 3. Amka mapema kabla ya dunia kuanza kelele 4. Panga siku yako kabla haijaanza 5. Tumia pesa kwa busara 6. Soma na jifunze kila siku upate maarifa 7. Chagua marafiki wanaokujenga 8. Epuka malalamiko yasiyo na suluhisho 9. Jenga akili tulivu na moyo wenye uvumilivu 10. Heshimu wazazi na familia yako 11. Jitegemee na simama kwa miguu yako Kumbuka Hakuna atakayekuja kuyaishi maisha yako kwa niaba yako. Ni jukumu lako kuyajenga.
Indonesia
10
93
358
12.9K
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
Goli Halali La Simba , Lakini Matokeo 0-0 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Filipino
0
0
12
666
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽@Ganslay_tz·
AM BACK AGAIN IN X , AFTER 10 MONTHS OFFLINE ON X !! Asante sana , Home Boy @McinikaWaLamar Nimefanikisha Kuirudisha Account Yangu! Mnikaribishe sasa tena humu X 😁
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ tweet media
Filipino
10
6
105
8.5K