The Bullet
15.8K posts

The Bullet
@blaque_carter
Into the shadow of the valley of death, I will fear no evil; for You are with me,🙏





Papai la Makunduchi Zanzibar lililo HARIBIKIA Tanganyika🚮🚮🚮🚮




Mkuu wa Mkoa wa Albert Chalamila amewakutanisha na kuwapatanisha waimbaji wa Injili, Upendo Nkone na Martha Mwaipaja baada ya mvutano wao wa muda mrefu uliokuwa ukiendelea kupitia mitandao ya kijamii. Wawili hao wamekutana leo April 10, 2026 katika Ofisi za RC Chalamila ambapo amesema aliliona suala hilo kupitia mitandao ya kijamii na kuona umuhimu wa kulishughulikia kwa karibu ili kurejesha amani na mshikamano miongoni mwa wasanii hao wa injili. “Tunafahamu dada zetu Upendo na Martha wote ni watumishi wenye vipawa vikubwa kutoka kwa Mungu, na punde nilipoona sintofahamu yao mitandaoni niliona ni vyema kuzungumza nao mmoja mmoja na kuangalia dhamana kubwa waliyonayo kwa mashabiki wao,” amesema Chalamila. #MillardAyoUPDATES

















