Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, Mrakibu Msaidizi wa Polisi ASP Michael Mwakasungura Januari 5, 2024 ametoa elimu kwa waendesha Pikipiki (Bodaboda) na abiria katika barabara ya Bujingwa- Sumve juu ya madhara ya kubeba abiria zaidi