固定されたツイート
Mbilinyi J
13.5K posts

Mbilinyi J
@thisisjo_
Attended Songea Boys Secondary School
Tanzania 参加日 Haziran 2011
1.4K フォロー中749 フォロワー

Wana kazi kubwa sana kumsaka anaefuatia 😃
Jogoo la Shamba Mjini@JMariotz
Platform ya BongoFlavour Honors under Sugu inazidi kukua kwa kasi kwa sababu watu wanapata tena nafasi ya kuwitness muziki mzuri wa BF ambao tayari umeanza kupotea, New school wanakitu kikubwa sana cha kujifunza kutoka kwenye hii pure love wanayoonyeshana hawa old school wa BF.
Filipino
Mbilinyi J がリツイート

Flashback Friday! Me & Profesa Jay tukiwa backstage kwenye show yake ya Atlanta, USA mwaka 2010.
Katikati ya Show wakati wa Wimbo wa “Hakuna Noma”, alinipandisha mimi na Bamboo (wa K-South) tukapiga verses. Kiukweli nimesha perform show kibao na majukwaa kibao… ila Hii itabaki kuwa the best highlight of my career so far.
Prof Jize ni undisputed heavyweight MC, and unanimous G.O.A.T was TZ Hip Hop. Ame inspire vizazi na vizazi, he’s been a mentor to many (including myself) na ameacha alama isiyofutika. Leo anaenda kupewa heshima yake kwenye Bongoflava Honors, naomba wote mtokee kwa wingi ku-celebrate career ya one of the best to ever do it!!!
SHOW YA LEO SIO YA KUKOSA.. Shoutout to Sugu & Deiwaka Ent for this platform.


Filipino
Mbilinyi J がリツイート


@xoxo_arts @MarekaMalili kwenye Trip 10 Tuseme Alikua Anatumia Lita 1 kwenye Umbali Fulani, Sasa Lita Iongezeke Buku, Ila ye Kila Trip Anaongeza Buku Sio Haki🤣
Filipino

@thisisjo_ @MarekaMalili Mimi hadi sasa nikaona labda ufikiriaji wangu sio maana duh! Ila huku kwetu bei ziko juu vile vile
Indonesia

Hasa Wahehe hawa… maana Ngairi masa 7 tu wamefika.
Lubasha Jr@MarekaMalili
Unaona mtu anaenda kwao mara kwa mara, unadhani anaenda kusalimia, kumbe kaenda Kurenew Bima ya afya na biashara 😆
Indonesia
Mbilinyi J がリツイート

A Seasoned Vet… (Written & Off The Dome Freestyle Combo)
Sasa hivi tunafurahia vijana wanachofanya na kutoa marks tu.
Beberu 🐐#Workethic #Throwback #WhenIBeOnTheMic
Eesti
Mbilinyi J がリツイート

Nikikaaga kusoma comment za watu, wanasema “Wakazi hajui ku-freestyle” huwa nacheka sana 😁🤣
Complex Rhyme Patterns, Multisyllabic Rhyme Schemes, Wordplays, Puns, Cadence Switch Ups, etc all in an OFF THE DOME FREESTYLE.. Wanaojua WANAJUA! 😎
Soon Darasa Huru lingine naleta, acha tumalizane na masuala ya Tume Ya Chande!!
BEBERU 🐐 #Workethic #WhenIBeOnTheMic #ThrowbackFreestyle
Filipino

@gabyconscious Na Mwanao Jacob, Siku Moja Iringa Pale yukp Anatrade na Veve pembeni, Ameona bora akakoboe Chaki Tu

@thisisjo_ Amini😂 kama mm sahivi hata mt4 sigusi unaweza tembeza hela ya pampers mamae
Indonesia

Kumbe me nimefanya kama sharauti watu wamelipwa😭🤣
RaHeeM@Cowwbama
Hii suala la podcast mbona kam kuna harufu ya hashtag
Filipino

@gabyconscious Kuwa Sawa Yupo sawa Tu, Lakini Age Imembadilisha Pia Sio Kwamba Ndo Kachoka Sana 🤣🤣 Ujuzi Umo Ila Mwendo wa Maendeleo Unakuwa Ni Kobe Na Sababu si zipo Market Imechange
Filipino

@thisisjo_ Kaka haiwezi kuwa rahisi kurudi juu ila inawezekana🫡 I hope atakua sawa
Indonesia

@Wakazi Yeah Ndo Kilichotokea, Na Anakiri At That Time Alizungukwa na Agemate ambao Ili waendelee Kuwa Nae Hakukua Na Wa Kumpinga Wala Kumrekebisha Na Ego Ya Profit streak Ikaleta Madhara
Indonesia

@thisisjo_ Ooh I see!! then it can happen kabisa
English

Sio Waongo!! Sema hawa disclose kikamilifu tu…
Ukiangia kwenye ku-trade, unakuwa unakopeshwa ka mtaji kakuanzia, ambako ukikazungusha mwishowe kanakuwa kako. Sasa ukichanganya yako na uliyopewa hela inakuwaga kubwa sana.
Wanaopotezaga zote kwa ghafla ni wale wanafanya kitu kinaitwa “Options Trading” tena za day by day…. yaani unaweza lala maskini ukaamka tajiri au ukalala tajiri ukaamka maskini.
Qubvan🦁@Vanysimba
@MarekaMalili @IAmHaule 😂😂Japo wengi wanakuaga waongo tu wanatu-motivate tu
Filipino

@thisisjo_ Oyah noma one of them tuko nae Dubenga yule white nashinda nae ananambiaga jamaa alivokua anawakubali🙌🏽🫡
Indonesia

@gabyconscious Mwenyezi Mungu Amsaidie Tu, Yupo sawa Sema Kurudi Kule Juu ni Ngoma Ngumu Kidogo na Ye Amekiri wazi, He is Good Guy Bado
Indonesia

@Wakazi So Una 750K Usd Halafu Unatoa Nusu Unawalipa Watu Then Kuna Kiasi Ulitoa Kufinance Lifestyle yako Na wana, Bado Umesimama Kutrade, Unarudi kutrade ni Low Season ndo Alipopoteana Hapo
Filipino

@Wakazi Jamaa Wanayembishia Anakiri Tu Hakupoteza Kwenye Trade ni Mistake Tu Alifanya
1. Hakuwa anatunza Kumbukumbu vizuri
2. Kutumia Capital Kwenye Kuwatoa Kwenye Majanga wana Na Msimu Huo Wote Alikua Hafanyi Kazi
3. Kuwalipa Return ya 50% Investors Kwenye Mwezi Ambao Hakufanya Kazi
Indonesia

@gabyconscious Me nmefika State House Ukifika Unamwambia Boda Nipeleke kwa Magnetics, Ukifika Appartment Zote analipia Yeye Anakaa na wahuni wake Tu, Sema Jamaa Alikuwa anawakubali sana Wanae,
Indonesia

@thisisjo_ Oyah sumaku alikua noma hata kabla hizo hela za wateja alizochoma
Español

@gabyconscious @BarakaMaviatu @BatroMlatino Na Jamaa Anasema Wazi Hakua Na Structure vitu Mob Ni Freestyle, Now Hawez Trade Fedha za Investors ila watu wanamwita Tapeli sasa Atawatapeli kwa Njia Ipi
Indonesia

@BarakaMaviatu @BatroMlatino Forex ilikua inachipua hapo kaka sahizi hata mtu akupe laki umeroga😄
Indonesia



