CCM Mtandaoni 리트윗함
CCM Mtandaoni
9.1K posts

CCM Mtandaoni
@CCMmtandaoni
Kundi la Hamasa CCM Mtandaoni| CCM IDEOLOGY| Wajamaa| #TeamSamia #KaziIendelee
Tanzania 가입일 Temmuz 2022
1.3K 팔로잉3.1K 팔로워
CCM Mtandaoni 리트윗함
CCM Mtandaoni 리트윗함

Ninaungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Watanzania wote, Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni kielelezo cha ushindi, matumaini mapya, na upendo mkuu. Tuendelee kudumisha tunu zetu za amani, mshikamano, na kuvumiliana ambazo ndizo msingi wa Taifa letu.
Tuutumie wakati huu kutafakari wajibu wetu kwa wengine na kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuijenga Tanzania yenye ustawi na maendeleo kwa wote.
Heri ya Sikukuu ya Pasaka!
___
Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Filipino
CCM Mtandaoni 리트윗함
CCM Mtandaoni 리트윗함

Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, tuyakumbuke na kuyaenzi mafundisho na matendo yake ya huruma, upendo, msamaha na kujitoa kwa ajili ya wengine.
Pasaka hii itukumbushe umuhimu wa kudumisha amani, kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, ili tuendelee kujenga Taifa lenye fursa kwa wote, ustawi na maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Heri ya Sikukuu ya Pasaka!

Filipino
CCM Mtandaoni 리트윗함
CCM Mtandaoni 리트윗함
CCM Mtandaoni 리트윗함

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2026.




Indonesia




























