Mussa Dida
519 posts


📍Dodoma Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun (katikati) akieleza utayari wa Benki yake kushirikiana na Serikali ya Tanzania na kushiriki katika kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, wakati wa mkutano na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani) uliofanyika kwa njia ya mtandao jijini Dodoma. 📸:W/Fedha

Muislamu wa kigeni alirekodi Eid na Iftar kama alivyoipitia huko China. Eid Mubarak.

NM-AIST na Shirika la Posta Tanzania zimekubaliana katika kuleta mabadiliko ya pamoja katika eneo la utoaji huduma kidigitali.



Wewe ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza uliye mwaka wa tatu au wa nne, au mwanafunzi wa Shahada ya Pili katika Chuo Kikuu? Unasomea masomo ya Physics, Chemistry, Mathematics, Biology, Brain & Cognitive Science, and Medical Science? Je, unatamani kufanya internship ya muda mfupi nchini Korea? Kama majibu yako ni ndio, basi omba fursa ya kufanya Internship nchini Korea katika Chuo cha Korea Advanced Institute for Science and Technology (KAIST). Programu hiyo ya wiki 8 inatarajia kuanza June 24 hadi Agosti 16. Mwisho wa maombi ni tarehe 31 Machi, 2024. Maelezo zaidi fuatilia link hapo chini: kaist.ac.kr/site/kr/html/f… @amour_maryam @muhimbiliuniver @KairukiSciConf @juliemakani @NM_AIST @TanzaniaInKorea










📍Berlin, Ujerumani 🇹🇿🇩🇪 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. @AngellahKairuki (Mb.) akiangalia mabaki ya mjusi mkubwa duniani aina ya “Dinosaur” yaliyohifadhiwa katika jumba la Makumbusho ya Viumbe Hai Berlin nchini Ujerumani. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sayansi, Makumbusho ya Viumbe hai Berlin, Dkt. Andreas Kunkel. 📸: W/Maliasili na Utalii


1/2 Mimi sio mwanasiasa wala mwanahistoria, Kwa hiyo sina mengi ya kusema kuhusu utawala wako Mzee Mwinyi. Ila ningependa kushukuru kuwa sikupanga saana foleni za kununua sukari, ninakumbukumbu chache za foleni za kununua sukari. Naamini hii ni sababu ya juhudi na uongozi wako.

Reflecting on my academic growth and feeling immensely grateful for the experiences that have shaped me and the knowledge I've gained. Now, with excitement and open arms, I'm ready to embrace the new challenges and opportunities that lie ahead! #SeniorLecturer

Namshukuru Mwenyezi Mungu leo ninapotimiza umri wa miaka 64. Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika siku hii. Ahsanteni sana.

Congratulations to Mr. Frank Samson from @EaCenit for receiving the Best Paper Award at the 6th EAI International Conference .








