Mr. Magnifico

27.2K posts

Mr. Magnifico banner
Mr. Magnifico

Mr. Magnifico

@FelicianROM

MNMA ALUMNI 🧑‍🎓 (2021) Still hunting for big bags💰. A @ManUtd fan

Dar es Salaam, Tanzania 가입일 Mayıs 2021
1.6K 팔로잉2.5K 팔로워
고정된 트윗
Mr. Magnifico
Mr. Magnifico@FelicianROM·
Rest in peace my mother 😭😭💔💔
Mr. Magnifico tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
629
298
3.9K
181.6K
Mr. Magnifico 리트윗함
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Juzi hapa amepewa udaktari bingwa na Chuo Kikuu bora cha afya nchini. Hivi decision making vyuoni ikoje hadi wanafikia uamuzi wa kijinga kama huo? Ni hofu ya nini?
Indonesia
22
68
509
9.6K
Mr. Magnifico 리트윗함
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Girishoni kaja kumkosoa boss wake kwa kuharibu zaidi kwamba "Tani za Petroli"🤣🤣🤣 Nchi imechanganyikiwa hii.
Indonesia
34
38
408
6.2K
Mr. Magnifico 리트윗함
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Na hapo anamiliki UDAKTARI WA MCHUMI MBOVEVU.🤣🤣🤣 Wachumi wabobevu wa elimu mbali mbali ni usenge walahi.
SATIVA tweet media
Filipino
26
65
603
9K
Mr. Magnifico 리트윗함
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Usiishie hapo… Pia ongezea CURRENCY DISPARITY. Kuwa 1$ ni sawa na Tsh 2500 (at least) na kima cha chini cha mshahara cha Wastani ni $8 kwa saa, ambayo kwa siku ya masaa 8 ya kazi ni $64 (Tsh 160k) Soo mtu wa chini kabisa analipwa kwa siku hela ya kutosha kunanunua litre hata 42 za wese. Mshahara wa Daktari ni 900k kwa mwezi. So kwa siku ni 30k, so anaweza nunua litre 8 tu (na huyo ni Daktari) Tanzania sidhani kama kuna watu zaidi ya million 5 wanaolipwa at least 900k . NDIO TATIZO LA VIONGOZI HARAMU
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki

Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70

Filipino
24
115
552
24.6K
Mr. Magnifico 리트윗함
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Ni Marekani ya wapi lita ya mafuta inauzwa dola elfu nane? Hivi huyu ni mjinga kiwango gani?
Tito Magoti tweet media
Indonesia
47
76
579
7.6K
Mr. Magnifico 리트윗함
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
"Futa... imekwenda moja kwa moja?" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Afute nini? Hutaki dunia ione UPIMBI WAKO? Tupo nayo na tunatamba nayo. Elimu mbali mbali kachokaaaaa🤣
Filipino
47
91
555
22.2K
Mr. Magnifico 리트윗함
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Maelezo mengiiii unamaliza Miti tuu girishoni. Wewe kila kitu kwako unafafanua, kwanini haya maelezo hakutoa dikteta JIKE kwa mdomo wake? Mnajua hana uwezo wa kuelewa haya -tukisema tunaongozwa na KYANDE mnatuteka.🚮
SATIVA tweet media
Indonesia
24
45
226
8.3K
Mr. Magnifico 리트윗함
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kutoka kuwa Profesa wa sheria mwenye heshima zako hadi kumuabudu mtu namna hii is something I will never understand. Eti hapo alikuwa amepagawa hadi amekosa maneno ya kusema sababu ya uteuzi🚮
Tito Magoti tweet media
Indonesia
54
41
365
10.3K
Mr. Magnifico 리트윗함
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Tulikubaliana hakuna kujieleza sana @MsigwaGerson Sasa mnapiga sarakasi na taulo, mnamwaga radhi 🤣 Hakusema Kimama chenu Euro 6,000 kwa tani! Alisema kwa lita 🤣 Eniwei #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
62
54
279
13.4K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
#UfafanuziMuhimu // Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani. Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo; 1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026. 2. ⁠Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026. 3. ⁠Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026. Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine. Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.
Gerson Msigwa tweet media
Indonesia
301
23
80
31K
Mr. Magnifico 리트윗함
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hotuba ya Samia kwenye page ya Ikulu imefutwa muda mfupi baada ya kuhutubia Ukurasa rasmi wa YouTube wa Ikulu umeondoa video ya hotuba ya Samia muda mfupi baada ya kuhutubia, hatua inayohusishwa na mkanganyiko wa takwimu za bei ya mafuta duniani alizozitoa wakati akihutubia.
Britanicca tweet media
Indonesia
33
49
395
23.4K
Mr. Magnifico 리트윗함
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
"Guys guys guys" pelekeni huyu mtu Mirembe. "Europe mafuta Euro 6000 na Marekani dola 8000 kwa lita" - Samuya 🤣🤣
Indonesia
9
20
89
1.6K
Mr. Magnifico 리트윗함
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Mwenezi wa @ccm_tanzania yuko wapi?Jana alituambia hatujui kufanya uchambuzi wa uchumi turudi shule.Leo tunaambiwa Europe wananunua mafuta kwa EURO 400 na marekani $600.Na hii ni kwa lita moja sio?
Indonesia
70
79
356
12.8K
Mr. Magnifico 리트윗함
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Tulieni Tanzania MAFUTA bei ipo chini huko Europ mafuta ni Euro 6000 marekani Dollar elfu 8, humu hamna MTU.
Indonesia
142
119
741
25K
Mr. Magnifico 리트윗함
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🙄🙄Seriously! Samia Suluhu said that fuel is sold at 6,000 (six thousand) Euros per liter in Europe‼️ Like waaat? It would be funny were it not tragic - illegitimate head of state has walked through heaps of body to cling to power and is this CLUELESS! Jamani tulie tusicheke! Huu ni ukilaza usio na kifani! Kweli? Ndo maana tumesema #SamiaMustGo
English
114
143
560
22.1K
Mr. Magnifico 리트윗함
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki. Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17 Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20. Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57 Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80 Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
120
105
515
21.1K