KABINGWA 리트윗함
KABINGWA
907 posts

KABINGWA 리트윗함
KABINGWA 리트윗함
KABINGWA 리트윗함

I am expecting alot money from Elon musk tonight. The minimum I can think of is maybe 1500 dollars. Kitu ya kwanza nataka hii pesa ikiingia tu namna hii, nirushie my dear Eve maina kitu kama 1000 dollaz kwa Mpesa. Hiyo ni ya kumshukuru,for being beautiful. Nitabaki na kédū 50k. Kwa hiyo fifty,nataka 27k nilipe school fees ya kipii ya mwaka na tour ile wanaenda kariandusi nimalize iyo maneno. Sitaki stress. Bibi nipatie 3k aamkie salon kesho wakaze rasta,almaarufu retouch.
Na nimwambie kuna mjengo nimepata kule subukia so nirudi Wednesday. Hii mbao ingine imebaki,hii sasa nataka nichukue BnB one bedroom pale kileleshwa siku kama tatu. Hapa sasa ndio tuko na mrembo yangu hii nilipatia dollaz,tuko huko Tunatekeleza wito wa bwana,almaarufu Procreation. Yani Making love. Akikataa kiss nampiga ngiri,anazima akili tena tunaendelea na ibada. Next week ndio nitarudi kwa kibanda yangu kasarani,broke but happy. Akiamungu mambo inaenda kuchemuka apa mbele

Filipino
KABINGWA 리트윗함
KABINGWA 리트윗함
KABINGWA 리트윗함
























