Osho Makaveli
275 posts


This is all of our answer, right?
🐐

badboy_stunner@Keyglock_12
who is the greatest rapper of all time?
English

@british77boe swali linamchora Mungu kama kiumbe "ukimuona" tayari hilo sio swali ni claim tayari umeweka bayana Mungu ni kiumbe either mtu au kiumbe kingine, ushawaza vipi kama sio kiumbe?
Filipino

@Elsukay0 @waziri3wa_wapwa Hakuna kitu humo,kila mtanzania asome "Death; an inside story" Sadhguru, au "Indaba my children" Credo Mutwa,au "Find Your Truth" Joshua Maponga, " God's delusion" Richard Dawkins, " Africa Kills Her Sun" San Karo Wiwa.
Filipino

@CalvinLwehela @ProfessorJayTz Humbleness ilopitiliza mzee duuh 🙌🏽 hata sugu moyoni anajua jamaa kawa humble tu
Filipino

Humbleness ya @ProfessorJayTz ni ya kiwango cha lami Mara nyingi amekua sio muongeaji sana wa mengi ambayo Ame Achieve kupitia sanaa yake na Jina lake amekua mtu anaeacha watu wamuongelee zaidi Nimeshangaa Kamchagua Sugu Dhidi Yake kwenye versus battle ya Jabir Saleh 😁😁😁🙌🙌🙌
Indonesia

@Vitabu247 @gabyconscious hakuna atakayeona utakachoona hata kama akiona ulichoona, brain ina create subjective reality mara nyingi kulingana na information za awali zilizotangulia kwenye akili ya mtu, information ya kwanza kuingia kwenye akili yako inakua chujio juu ya information zitazofuata.
Indonesia

@gabyconscious Umesema kweli lakini tunaweza kusoma kitabu kimoja tukawa na fikira tofauti .
Indonesia

Wote mnakua programmed mnafikiria sawa ndomana sipendi kusoma vitabu kisa tu ni BEST SELLING BOOK.
Sean 🦩@iboysean
Mbona wote mkianza kusoma vitabu mnasoma “Atomic Habits” au ni for aesthetic?
Indonesia

@Hombyjr1 @Ngattaboe99 "tunawafatilia" toa hiyo herufi "tu" sema unawafatilia.
Indonesia

@DullahTheking2 "The way life goes" by Uzi Vert. listen to that shit bro
English

Carti
Uzi
Carti
Uzi
Carti
Uzi
Carti
Uzi
F💫@faviexx
3 artist you can't listen to?

@JH_Churchill Uno na Nikki Mbishi style mbili tofauti tena Uno nahisi staili yake ni ngumu kukopi ndomana hakuna ambae ashajaribu,maana Uno anachezea maneno
Indonesia

@MTENGENEZSAFINA Noah ndo jina lisilo na mikosi au sio 🤣 waafrika dini zishatumaliza akili
Indonesia

Tunashukuru familia.
Majina Yana nguvu sana spiritually. Hip hop ni mziki wa mikosi mitupu angempa mtoto wake mikosi bila kujua.
1. social impact -kwa mtoto ingekuwa mbaya
2. Professional perception- ingemtesa
3.personal identity- angeteswa kuwa na identity ambayo hajaipenda
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi@JabirSaleh
Mapenzi ya hiphop yalimfanya @black_ninjaah atamani kumuita mtoto wake jina la Hiphop ,lakini familia ilimgomea kabisa Gusa link kutazama : youtu.be/J2OkWVflWkw?si… Cc @BabuBomba4 @LucasOdero8 @zeanonymouspoet
Indonesia

@confidentialdrm @_Ochiedike I lost my girlfriend she married another guy,she left me because I don't believe in religion
English

@NevisPapito picha linaanza kwenye Adam na Eva,yani Adam asingehisi upweke mwanamke asingeumbwa?, viumbe vyote viliumbwa dume na jike ila kwa binadamu ilichukua muda Mungu kuona sio vema Adam awe peke ake,yani mwanamke hakuwa kwenye plan ya kwanza ya Mungu? hii ni dharau sana kwa mama zetu
Indonesia

Ukianza kusoma Bible tangu mwanzo utaona jinsi Wanawake imewaweka upande gani?
Uki reason pia kwa story na relevant kwa current society unaona ni impossible things 😂🤧
Osho Makaveli@Manyama255
@kishoka_ @waziri3wa_wapwa kwahiyo bible inamchora mwanamke kama bidhaa,yani utoe binti zako ku please watu? Kwa dunia ya leo binti zako wangekuchukuliaje baba? Mungu kashindwa kulinda malaika wake mpka lutu awaze kutumia binti zake kama kingi? story kama hii ina effect gani mtoto wa kike akisikiliza?
Filipino















