Dr. Boaz

71K posts

Dr. Boaz banner
Dr. Boaz

Dr. Boaz

@PhysicsJ7

#THINK_BEFORE_DOING.

Dar es Salaam, Tanzania 가입일 Mayıs 2016
1.8K 팔로잉3.8K 팔로워
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Mafuta dola ngapi?? 😅
Filipino
11
0
17
1.1K
Faraja
Faraja@faraja_zungu·
Asilimia kubwa ya viuatirifu mbolea ambayo inauzwa Tanzania imepigwa marufuku soko la Ulaya, kwa maana si salama kwa matumizi ya kilimo na mifugo, waziri wa kilimo ni mfu 🤷‍♂️.
Burundi 🇧🇮 Filipino
11
6
84
4K
Faraja
Faraja@faraja_zungu·
@PhysicsJ7 Ni heri upoteze wachache uokoe wengi!
Burundi 🇧🇮 Polski
1
0
1
27
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Nilikuwa namsikiliza huyu mkurugenzi pale UTV anasema, " Bei ya nauli iliyopangwa 2023 ilijumuisha viwango vya gharama za upandaji wa mafuta wa sasa ,hata hivyo upandaji wa mafuta wa sasa hauathiri nauli zinazotumika sasa" Kwa hiyo miaka 2 tulikuwa tunalipia over price🤔
Dr. Boaz tweet media
Filipino
26
19
198
11.4K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
@faraja_zungu Kuna watu wameniunfollow Kisa hizi mada za Madawa ya kilimo.
Indonesia
1
0
1
35
Faraja
Faraja@faraja_zungu·
@PhysicsJ7 Tumekuwa na kizazi cha ajabu sana, tumeweka fedha mbele kuliko utu na afya za watu.
Indonesia
1
0
4
130
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Nimeanza kuamini Rais amezungukwa na Useless peoples. Au ni mpango wa kumdhalilisha unaendelea🤔 Yani Lita 1 iuzwe Milioni 2 na bado anasema amerekebishwa🫢🫢
Filipino
101
89
485
30.5K
Max
Max@maxannania·
Mimi ni mhasibu, tunasoma taxation kwa kiwango fulani, lakini naomba kusaidiwa na watu walio specialize kwenye Kodi na Uchumi. Kwa nini kuna kodi kubwa namna hii kwenye Motor vehicle importation kuzidi hata original price ya chombo? Gari inauzwa 12M halafu important duties/levies ni 18M!! How and why?
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari

Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama.. . Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz.. . Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja.. . Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..

Filipino
54
25
207
42.9K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Hivi wanawake mnavaa mawigi ili muonekane mna nywele za “Kizungu” au ni nini? Maana 98% hayawapendezi…
Indonesia
22
15
163
5.7K
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Mvua inanyesha halafu mmetukatia umeme mnataka tufanye nini sasa ??
Indonesia
38
28
82
1.6K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Short Moja yenye watazamanji Milion 1 unapata Dolar 27. Ukitengeneza shorts 10× kila siku zikapata watazamaji milion moja moja, kwa mwezi utapata dolar 810. Pesa ya MTANDAONI bongo ni ngumu sana, ila serikali wanaamini watu wanaingiza mabilion ya pesa napo wanataka tozo.
Assenga Jr tweet media
Indonesia
12
1
36
3.2K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
@udomtheofficial Chuo badala ya kuzalisha wataalamu wenye maono chanya juu ya Taifa,ila UDOSO mmejaza Vijana kusifia kila kitu .🤔🤔
Indonesia
0
0
0
7
The University of Dodoma
The University of Dodoma@udomtheofficial·
Serikali imewahimiza wataalamu wa Kiswahili kutumia fursa za kimataifa zinazotokana na ukuaji wa lugha hiyo ikiwemo tafsiri, ukalimani, uandishi na utangazaji ili kuifanya Kiswahili kuwa rasilimali ya kiuchumi.
The University of Dodoma tweet mediaThe University of Dodoma tweet mediaThe University of Dodoma tweet mediaThe University of Dodoma tweet media
Indonesia
1
0
0
88
Dee🌦
Dee🌦@dee_dnd·
@maxannania Vipi nikiagiza ikafikia kenya then nikaifata kuileta tz kwa kudrive sitokuwa nimekwepa kwa kiasi fulani matozo ya bongo au ntayakuta mpakani?
Indonesia
11
0
2
4.5K