STAMICO TANZANIA

33 posts

STAMICO TANZANIA banner
STAMICO TANZANIA

STAMICO TANZANIA

@STAMICOTZ

STAMICO is state owned enterprise which was established in 1972, with the aim of increasing the contribution of the mineral sector to the national economy.

Dar es Salaam, Tanzania 가입일 Temmuz 2017
4 팔로잉527 팔로워
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki akisikiliza kwa makini maelezo ya kitaalam kuhusu Makaa ya Mawe kutoka kwa Mjiolojia wa STAMICO Bw. Nobert Mkopi Waziri Kairuki ameipongeza STAMICO kutokana na juhudi na uzalendo katika usimamizi na utendaji kazi wa mradi wa Makaa ya Mawe.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
1
16
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Kanali Mha. Sylvester Ghuliku akimuelezea Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki namna shughuli za uchimbaji wa Makaa ya Mawe unavyoendelea Mgodini Kabulo kwa kutumia Watalaam mbalimbali.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
2
3
7
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Kanali Mha. Sylvester Ghuliku akimkaribisha Waziri wa Madini Mhe. @AngellahKairuki mara baada ya kuwasili katika Mgodi wa Makaa ya Mawe huko Kabulo.
STAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
1
0
13
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Waziri wa Madini Mheshimiwa Angellah Kairuki akizungumza na wafanyakazi alipotembelea Shirika la Madini la Taifa, tarehe 5 novemba 2018 katika ofisi za STAMICO zilizopo Upanga, Dar es Salaam
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
3
17
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Waziri wa Madini Mheshimiwa @AngellahKairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila wakisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili ofisi za Shirika la Madini la Taifa (@STAMICOTZ) zilizopo Upanga, Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
3
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Waziri wa Madini Mhe. @AngellahKairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila wakipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Kanali Mha. Sylvester Ghuliku walipotembelea Shirika na kufanya majadiliano ya pamoja na Watumishi ili kuboresha ustawi wa Shirika hilo.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
4
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Wawakilishi wa STAMICO wakitoa maelezo kuhusu kazi za Shirika kwa wananchi waliokuja kutembelea banda, wakati wa maadhimisho wa wiki ya mazingira yaliyo hamasisha matumizi ya nishati mbadala. Kauli mbiu ilikua: Mkaa ni gharama tumia nishati mbadala.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
1
0
4
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Mhe. Waziri wa Madini @AngellahKairuki akimkabidhi mwakilishi wa STAMICO Bw. Mark Magessa cheti cha ushiriki katika maonesho ya Madini yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Tar. 30Mei - 1June 2018 wakati wa vikao vya Bunge la Bajeti.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
3
8
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipata taarifa mbalimbali za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Shirika walipotembelea banda la STAMICO wakati wa maonesho ya Madini katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma wakati wa vikao vya Bajeti hivi karibuni
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
2
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akipata taarifa mbalimbali za miradi ya Shirika alipotembelea banda la STAMICO wakati wa maonyesho ya madini katika katika viwanja vya Bunge, Dodoma. Kushoto kwa Mhe. Spika ni Wazir wa Madini Mhe. @AngellahKairuki
STAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
3
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Wazir wa Madini Mhe. @AngellahKairuki akiwa na Manaibu wake Mhe. Dotto Biteko na Mhe. Stanslaus Nyongo wakiwa kwenye banda la STAMICO wakati wa maonesho ya Madini yaliyofanyika Bungeni Dodoma hivi karibuni wakati vikao vya bajeti vikiendelea.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
2
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Kanali Mha. Sylvester Ghuliku akitoa taarifa ya uendeshaji wa miradi mbalimbali ya Shirika wakati wa kikao cha pamoja na Waziri wa Madini Mhe. @AngellahKairuki , Naibu Waziri Mhe. Dotto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Simon Msanjila.
STAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
0
1
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Waziri wa Madini Mheshimiwa @AngellahKairuki akitoa maelekezo ya namna nzuri ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Shirika wakati alipofanya ziara ya kikazi STAMICO hivi karibuni.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
1
0
2
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO Kanali Sylivester Ghuliku amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mha. Nayopa na kuanza kazi rasmi tarehe 05/03/2018. Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya STAMICO Balozi Muganda.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
1
6
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Mtambo wa kisasa wa kuchoronga Chokaa unaomilikiwa na STAMICO ukiwasili mkoani Tanga kwa ajili ya kuanza rasmi kazi ya uchorongaji Chokaa.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
1
2
6
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Wataalamu wa STAMICO wakiongozwa na Bw. Mtui kutoka Ofisi ya Afisa Madini Tanga wakikagua maeneo kabla ya kuanza kazi ya uchorongaji.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
2
3
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Afisa Mtendaji wa kata ya Kiomoni Bw. Adam Chinyuka akioneshwa eneo la Uchorongaji Chokaa katika mtaa wa Kiomoni kata ya Maweni.
STAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
2
3
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Afisa Mtendaji wa kata ya Maweni Bi Rehema Said akiangalia eneo la Uchorongaji chokaa katika mtaa wa Kange kata ya Maweni.
STAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
2
2
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Mha. Nayopa aongoza mazungumzo na Mantrack Group na wadau katika biashara ya vifaa vya uchimbaji madini
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
1
0
0
STAMICO TANZANIA
STAMICO TANZANIA@STAMICOTZ·
STAMICO yakutana na kampuni ya Joto Ardhi (TGDC) ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO ili kushirikiana katika utafiti, uchorongaji na mafunzo.
STAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet mediaSTAMICO TANZANIA tweet media
Indonesia
0
1
1
0