Naendea io Chai ya huyo Preston napata the lady alimuongeza 330k kununua gari then akapata bra kwa io gari, kidogo nakumbuka they're talking of some figures sijai pata in my life inabidi tu nifuatilie hizi za Kina Mlachake na huyo mwandawazimu wake
Kuna time karibu nioshwe account hdi nikaexchange emails uzuri mimi ni sharp boy😄,,,,hiyo desperation ya pesa kiasi haiwezi nipata tena mangai 🤦,,, sahii wacha nitosheke na chenye msichana alinizaa ananipea hdi ijipe🙏
Enyewe twitter influencers ikifika ni time ya pesa wanaeza ata kukuua,nmekumbuka time ya maandamo Osama tweeted"lutomustgo"😂😂😂😂akasema ati simu yake haifinyiki 'r'😭😭😭😭😭😭😭kumbe alikua amelipwa,fakyuuuu