Eli Cohen

755 posts

Eli Cohen banner
Eli Cohen

Eli Cohen

@_kibaba_

가입일 Temmuz 2021
196 팔로잉123 팔로워
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@FabrizioRomano @George_Ambangil niliwahi kusema hata yatatokea kwa spain hata uwe keeper bora kiasi gani mbele ya Unai Simon hutoboi kwasabab ya kuwa sweeper 🙌🏾
Indonesia
0
0
0
20
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🇪🇸 Luis de la Fuente on Joan García out: “People should not doubt a top goalkeeper like Unai Simón”. “His quality, his skills, his career, his professionalism… I fully TRUST him”.
Fabrizio Romano tweet mediaFabrizio Romano tweet media
English
404
744
22.5K
1.3M
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Gaspinho15 Kuna jamaa muuza mahindi nje msikiti wa kibrateni aligombana na mpita njia akapiga teke jiko lake ndani lina radio call,pingu na bastola 2020 hakuwagi kuonekana tena, hata mtu ukija kuuza karanga pale sahv wanakufukuza😂trauma
Indonesia
0
0
3
103
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
Aiseeeh...🙌🙌 Jamaa anayeonekana kama Chizi kakutwa na Bastola...Duuuh.🙌🙌
Indonesia
9
14
61
5.4K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
🚨Kijana mtanzania baraka seif mpanda ameendelea kuonyesha makali yake kwenye timu ya vijana ya damm academy mara baada ya kufanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika academy hiyo kubwa ya Spain 🇪🇸 Baraka seif anahusishwa kujiunga na kituo cha kukuza vipaji cha👇
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
10
15
135
6.6K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@RevocatusMagum1 Hamna team ya top 10 Africa inayochukua mchezaji aliyochuja kwenye team nyingine ya top 10 mwenzake ukiona hivyo kuna team haina malengo....yaan Logistic company inunue lorry lililochoka kutoka kwa mpinzani wake😂
Indonesia
0
0
0
1
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@MickyJnr__ Using "Some people are saying" in a phrase is a sign of HYPOCRISY 📌
English
0
0
3
349
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
Some people are saying Senegal are disrespecting the Confederation of African Football Appeal Committee especially after the verdict stating they forfeited the final against Morocco. Yet, they’ve gone ahead with the trophy parade in France… Do you agree with them or not? #africanfootball
Micky Jnr tweet media
English
210
26
498
40.2K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@ayubu_madenge Hapo wameona mwandiko wa mtu kiziwi bado hawajaona wa kipofu mwenyewe kwa mkapa😂🙌🏾
HT
1
0
3
341
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Ripoti ya CAF ya ukaguzi wa viwanja inasema mpaka sasa Kenya haina kiwanja hata kimoja kilichokidhi viwango vya kuchezewa mechi ya AFCON 2027.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
24
25
582
14.8K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@fintanjr_ We itakua huifuatilii Spain kama unadhani Oryazabal ameanza kuzima hivi karibuni kikosi cha kwanza Taifa
Indonesia
1
0
1
292
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Ukiona mchezaji anacheza Real Sociedad then kwenye team hii anaanza , its not a joke bro,.. spain making it to look like easy thing🔥⚽️,..
English
12
7
151
11.1K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@MangiwaKwanza1 Wabongo nao wasenge tu wasanii wao wakija bongo mnawapapatikia mpelekeni wenu uone anavyobondwa mawe huko
Indonesia
0
0
0
89
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@SportsarenatzTz Ni muda sasa wakina Damaro na Keyeke wapewe nafasi Stars si walipewa uraia au....maana hawa wakina fei wnaaperfom club kwasabab kuna upinzani wa kigeni wakiletewa na stars pia waraimarika labda
Indonesia
0
0
0
5
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
⌛:FT Mchezo umemalizika uwanja wa Pele, 🏟️ Kigali ni LIECHTENSTEIN🇱🇮 wanaofanikiwa kupata ushindi mbele ya TANZANIA🇹🇿 🇹🇿 TANZANIA 0️⃣-1️⃣ LIECHTENSTEIN 🇱🇮
Indonesia
3
2
12
1.2K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Chahali Black hate on black is historical ndo maana Colonialism was smoothly invented Africa huku Songea wanapigana Majimaji war kule Kilimanjaro Chifu Mangungo anapewa kioo anasign kuuza ardhi, huku Iringa Chief Mkwawa anapambana kule wanawauza wenzao 🤦🏾‍♂️
Filipino
0
0
1
62
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
Huyu ni kijana wa Kitanzania anayetafuta ridhki yake huko Afrika Kusini. Unfortunately, hao Wasauzi wamekuwa wabaguzi hatari zaidi ya hawa tulio nao huku nchi za Magharibi. Hawa washenzi wamesahau mchango wa Tanzania katika mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Makaburu nchini humo. Kichekesho ni kwamba sifa kuu ya Makaburu ilikuwa ubaguzi kama wanaofanya hawa weusi zama hizi. Wakati kwetu Moro tuliwahifadhi pale Mazimbu, Idara ya Usalama wa Taifa (ilipokuwa Idara ya Usalama wa Taifa kweli sio hii ya watekaji na waf*raji iliyotekwa na abduli 😡) iliongoza vita ya kijasusi ya frontline states dhidi ya Shirika la Ujasusi la Makaburu (BOSS) na kushinda. Situation huko Sauzi is expected to get worse baadhi ya chifu mmoja wa Wazulu kutoa hotuba kali kuhamasisha vita dhidi ya wahamiaji. instagram.com/reel/DWYv1_xjL…
Indonesia
10
6
35
4.5K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Aruatani Pale ni kwa Mkapa akiingia, hatoki mtu😂
Indonesia
0
0
2
174
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Banza alikuwa Rais wa Bendi na akapelekwa Mzena ila wao wapiga vinanda wanapakwepa..😂🙌
Aruatani✨ tweet media
Filipino
24
33
358
25.7K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Chahali @YouTube Kuna watu Prominent ambao watatikisa meza during uchaguzi CCM for 2030 na ili lisijirudie kama 2015 inabidi watu wenye power mapema waanze kupunguzwa maana by 2030 itakua too late and too obvious. Nchimbi kaona legacy ya Lowassa ilivyofutika nchini na aliahidiwa kuwa P, kashtuka
Indonesia
0
1
2
445
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Chahali @YouTube There's a pattern currently kwa kila kifo kikitokea 1.Kiongozi anasema "marehem" hakua na ugonjwa wowote 2.Kiongozi anasema jana tu niliongea nae na alikua sawa NB: Nashangaa Samia anatajwa kwenye misiba "tunashkuru Rais Samia alimpa nafasi kwenye baraza lake" guys MSIBANI🤔
Indonesia
0
1
0
422
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@mTusiOriginal Sasa yule mzee badala ajielezee anaanza kusema baba ake alipigania ukombozi na Nyerere inasaidia nini, kila mmoja akija na rekodi ya ukoo wake si itakua Nepotism hiyo sio haki sasa
Indonesia
2
1
5
975
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mtoto wa seif:Nimezulumiwa mali ya baba yangu Lukuvi: sema shida yako nitaondoka sitaki makaratasi. Mtoto wa seif: Nimeshida kesi mahakama zote lakini nimezulumiwa arithi baba yangu aliyo nunu 8000. Lukuvi : Sema shida yako Hivi huwa mnatuona kama mavi🚮🚮
Filipino
18
29
379
27.1K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@Shadaya_Knight Getting your independence in 1994 and thinking a black man is your enemy is sick man😂🤚🏾
English
0
0
0
4
Beast
Beast@emabilly2001·
Jamaa kafariki akiwa na miaka 70' kwenye miaka yake yote aliyoishi miaka 31 alikuwa mbunge kwa malipo yanayolipwa hapa Tz kwa wabunge kuanzia posho na mshahara anagusa 1b kila muhula jamaa kwa haraka kapiga 6b kumbuka alikuwa na waziri pia😁🙌
Beast tweet media
Indonesia
30
18
615
37.8K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@fintanjr_ Samatta kacheza Simba mechi hazizidi hata 8, less than nusu msimu...huo umoto kauwasha wapi Simba.
Indonesia
1
0
0
333
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Ukiziangalia Simba na Yanga kwa juu juu, unaweza kudhani ni team zinazofanana kila kitu kama wanavyoitwa Mapacha wa Kariakoo ila kwenye swala la Carrier na kuruhusu wachezaji wake kukua Simba na Yanga ni Mbingu na Ardhi,. Simba walimuacha Samatta aende akiwa wa moto, Ramadhani singano , Kina Kibu D na Ahoua wameondoka kiroho safi na wengine wengi, Ila upande wa Yanga ni tofauti Mayele nusu wamtoe roho, Guu likawa la bia mayele kaenda kupona kwa mwampooo😂💔🐸.
The champ👑 tweet mediaThe champ👑 tweet media
Indonesia
34
33
447
30.4K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@SwahiliRealTalk Kwanini mchezaji akitoboa watu wanataka arudi kucheza Simba na Yanga kwamba ndo mafanikio ya soka au, wakina ajibu wana vipaji walibaki nchini mkawabeza walitakiwa waende ulaya hawa wapo nje mnasema warudi bongo 🙆🏾‍♂️
Indonesia
0
0
0
198
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
NEW CLEMENT MZIZE IN TOWN: vilabu vya Tanzania shtukeni mapema, hapa pichani kuna pesa, mshambuliaji kijana mwenye exposure ya kucheza soka la kimataifa katika umri mdogo sana, Morice Sichone kwa sasa yupo Gulf united ya UAE 🇦🇪, amecheza Zambia lakini pia ana National team Cap👇
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
2
13
104
3.6K