fezoo

185.6K posts

fezoo banner
fezoo

fezoo

@fezoomaster

ADUI💀

Tanzania 가입일 Nisan 2020
4.6K 팔로잉12.5K 팔로워
고정된 트윗
fezoo
fezoo@fezoomaster·
Hela ngumu mno wazee ukipata nafasi ya kuibia serekali ww iba tu.
Indonesia
79
346
850
75.9K
fezoo 리트윗함
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Wakati ambao mioyo imekata tamaa ndio Mungu huitimiza Ahadii yake kwako, Mungu wa dakika ya mwisho ambayo hakuna msaada unaotarajia ndio Mungu huonekana🥺😭🙌🏾
Indonesia
2
22
130
1.3K
fezoo 리트윗함
Balyx
Balyx@Balyx_·
Nimependa jibu la Bien pale Crown Fm Watanzania mnapenda sana kufanya comparisons na haziwafikishi popote Utasikia “1945 sisi na China tulikua na uchumi sawa” Then what happened you clown 🤡
Indonesia
9
31
414
13.4K
fezoo 리트윗함
Billy
Billy@BillyTronix1·
Ila wanawake jau ujue 😅😅😅 Unamwambia aagize msosi anasema ameshiba ye hali,unambembeleza wee anakataaa! Unaagiza ka mbuzi choma kako ule anakudoea mpaka kanaisha 😅😅
Indonesia
15
20
274
12.2K
fezoo 리트윗함
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Kumbe kuna wakewenza wapo bado wanaopendana nimekutana na wakenza saloon leo wamekuja pamoja na wanakaa nyumba moja nimeshangaa sana.
Filipino
17
26
118
5K
takadinie
takadinie@takadini_23·
Mwanaume kabla hujaoa hakikisha umejinunulia nguo zako za kutosha viatu vyakutosha.....
61
108
866
30.1K
fezoo 리트윗함
888
888@444holywitch·
KUNA MAMBO MANNE MUHIMU SANA UNAPASWA KUACHA KUYAFANYA KUANZIA SASA KAMA KWELI UNATAKA KUONA MABADILIKO KWENYE MAISHA YAKO. Kwanza, acha kujilaumu kwa yaliyopita. Ukweli ni kwamba huwezi kurudi nyuma na kubadilisha kilichokwisha tokea. A THREAD 🧵
Filipino
16
89
333
19K
fezoo 리트윗함
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Hivi hakunaga pombe iliyo kwenye mfumo wa powder kama zile Juice cola? Unanunua zako unaenda home unachanganya na maji, ingekua unyama Sanaa🔥🔥😂
Filipino
40
58
320
19.6K
fezoo 리트윗함
Billy
Billy@BillyTronix1·
Siku hizi ukiomba namba wanakupa afu wanakwambia nibip nipate yako 😆😆😆😆
Filipino
33
38
480
26.4K
fezoo 리트윗함
Pearlr_
Pearlr_@msritha_·
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nataman kuwa na Roho mbaya, Kuwa Mbinafsi...,
Indonesia
8
8
35
654
fezoo 리트윗함
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Nitaoa mwanamke ambaye:- 1. Hajawahi kutoa mimba 2. Hajawahi lala na mwanaume YEYOTE 3. Hana ex 4. Hajawahi kutibu gono 5. Akiwa na mimi kitandani havuti hisia za boya mwingine Kifupi NITAOA BIKIRA. Raha sana
Indonesia
48
57
365
15.9K
fezoo 리트윗함
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
S2kizzy atatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa yeye ni GOAT kwenye utayarishaji wa beats. Lakini ukweli ni kwamba, kama katika kila beats 5, tatu ni copy-paste ya idea za watu, hapo kuna shida. Ku-sample siyo dhambi, tatizo ni kudai ni idea yako wakati sio kweli.
Filipino
15
11
138
5.5K
fezoo 리트윗함
julip20
julip20@julip202·
Happy birthday to me 🎉🎂.
julip20 tweet media
English
115
53
397
43.1K
fezoo 리트윗함
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
Nimemprank mama bite nataka nichore tattoo yenye jina la mshua😂 kanijibu “kwamba wewe ndo una mapenzi ya dhati kwa mume wangu kuliko mimi, olewa ukamchore mume wako”🥶🥶 Sijui nani kamkera huyu msichana leo 🙌🙌
Indonesia
18
20
217
12.2K
fezoo 리트윗함
Mchizi chizi kichizi
Mchizi chizi kichizi@mchizidamas·
Wydad wamesajili Ziyech, Ben Yedder na bado waetolewa robo fainali ya CCC alafu mtu anabeza watoto wa kariakoo kushangilia medali unagua wewe 😀 Am out 🏃🏿🏌🏿
Indonesia
2
14
150
5.3K
fezoo 리트윗함
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Downfall ya Bongo Fleva imesababishwa na media chache zenye monopoly ikiwemo Clouds. Badala ya kukuza vipaji vya kweli, wali-focus kutoa platform kwa wasanii wa mchongo na kutengeneza superstar wasio na pontential. Top artist wa bongo fleva yeye ni ku copy beat na melody za watu
Indonesia
21
13
152
12.7K
fezoo 리트윗함
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Kuna Mtu Nlifanya Nae Kazi Mahali Sasa Kama Mnavyonijua Mwenzenu Kaba Ndio Sina🤣. Alikuwa Akinikwaza Hakilali Natoa Makavu Live Ndio Kieleweke. Sasa Kuna Usaidizi Nlikuwa Nataka Ile Kurudi Kule Nikakuta Yeye Ndio Boss😭🤣 Oyaaaaa Nlisema Nimekwisha Sitasaidiwa. Cha Kushangaza
Filipino
7
11
258
32.4K
fezoo 리트윗함
..Mercedes✨
..Mercedes✨@LilianLevelian·
..Nawakumbusha ishini na watu vizuri,hapa Twitter kuna watu wema sana.
Indonesia
9
23
81
2.1K
fezoo 리트윗함
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Traffic Kanisimamisha Kumbe Ni Tulisoma Wote Sekondari Na Alikua Mtoro Sana Nimemwambia We Mtoro Niache Niondoke...😂😂😂
Indonesia
45
74
1K
40K
fezoo 리트윗함
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Challenge ya Black and White imekuja muda sahihi hatuoni picha za Carabao 😂😂😂
Eesti
19
10
165
4.1K
fezoo 리트윗함
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Mwanamke wa miaka 30 sio sawa na mwanaume wa miaka 30, mwanamke ni mkubwa hapo🫵🤝
Polski
61
54
593
34.2K