kharry_de_prince

22.5K posts

kharry_de_prince banner
kharry_de_prince

kharry_de_prince

@kharryson95

💥//Community development Expert//💥 🎓//Teacher//🎓 🦁Manchester united & Simba fan🦁

Tanzania 가입일 Ocak 2014
1.3K 팔로잉1.1K 팔로워
고정된 트윗
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Naomba ijulikane hivi nimekuwa nikifuatilia mambo ya siasa kwa zaidi ya mika 17 sasa sikuwahi kumiliki kadi ya chama yoyote nimeshawishika kupata kadi ya @ChademaTZ2 kama mwanachama hai naombeni mnisaidie jinsi ya kupata kadi...
kharry_de_prince tweet media
Indonesia
17
76
523
12.4K
kharry_de_prince 리트윗함
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
@LAZARUSCHAKWERA kindly meet TEC as well. Meet Dr Charles Kitima who is actually the Secretary General of TEC. You will be told that the Police demanded forced for the people who were receiving gun shot treatment to be handed to them so they could be killed. #29OctNotForgotten
English
0
10
26
704
kharry_de_prince 리트윗함
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Ila siku Lissu akitoka Ukonga hiyo rally ya kwanza sijui itafanyikia wapi patoshe kua-accomodate nyomi.. Kwanza siku hiyo Lissu hataongea chochote, akikamata mic tunaimba 'Rais, Rais, Rais, Rais, Rais' mpaka muda unaisha... Afu tunamsindikiza mpaka nyumbani kwake Tegeta
Indonesia
7
52
308
2.7K
Kante
Kante@MkulimaKante·
X ndio platform ambayo mdau anaweza akakuomba Follow Back ukafollow back kwa upendo tu ila ile kitendo tu cha yeye kuona umemfollowback anapress unfollow button muda huo huo😁😁 Watu hawaaminiki😁🫵
Kante tweet media
Indonesia
19
16
37
601
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
@KagsLutty Tuliokua wakati wa mwalimu hatukuyaona haya ... Hata wakati wa mkapa na mwinyi hayakuwepo.. Mkwere alipoingia tukaanza kuona mauza uza ukweli nchii hii ukiacha waliotangulia aliyetuharibia na kutufikisha hapa ni mkwere... Ukweli usemwe.
Filipino
0
0
0
3
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Taasisi zetu zimekuwa za hovyo kinoma! Zimeharibika!
Kagimbo Lutahya tweet media
Slovenščina
1
0
0
16
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
@Elsukay0 Lissu hajawahi kataa mazungumzo sema anachoweka ni masharti ya kuyafanya mazungumzo huwezi kuwaita CHAUMA kwenye mazungumzo ukategemea kusema haya wao hata chooni mnafnya la maana wapate kitu kidogo na kuahidiwa mavyeo...
Indonesia
0
0
2
164
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Lissu kumbe kakubali mazungumzo? Upi ni mtazamo wako kazingua ama yupo sahihi?
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
37
8
57
2.9K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Jamani follows back sio content... watoto waliojiunga humu juzi mnakera yaani kila ukiscroll ndiyo mambo unakutana nayo.. tumekaa hapa for a dicade haya mambo hayakuwepo na watu waligain followers kama uko na content nzuri watu watakufollow tu wala usipate presha..
Indonesia
0
0
0
2
kharry_de_prince 리트윗함
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Peter Magyar kiongozi wa Upinzani aliyeshinda uchaguzi wa Hungary na kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo amekataa KULINDWA. Amesema “Sina ninacho ogopa na ninataka nifanye kazi bila kuja kuogopa baadaye. Hungary lazima iwe nchi ambayo mtu mwaminifu anaishi bila kuwa na hofu”.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
17
37
476
5K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
NILIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUZUNGUMZA NA Dr Lazarus McCarthy Chakwera . Nilipata nafasi ya Kuonana na Kuzungumza na Mheshimiwa Dr.Lazarus McCarthy Chakwera Muwakilishi wa Katibu Mkuu Commonwealth na kuzungumzia Kiini cha tukio baya kabisa la Mauwaji ya halaiki la Oktoba 29 /2025 na matukio mengine ambata ya kabla na baada ikowemo watu Kutekwa na kupotezwa. Hoja zetu zililenga namna bora ya kupata ufumbuzi kamili kwa msingi wa UKWELI(TRUTH), HAKI (JUSTICE) na Uwajibikaji (ACCOUNTABILITY). BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
45
149
613
10.6K
kharry_de_prince 리트윗함
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
@EduTalkTz Watu 1,00,000 x Tsh 2000 Kwa Mwezi = 20,000,0000 Watu 1,000,000 x Tsh 2000=2,000,000,000. Inawezekana tatizo commitment na vipaumbele.
Polski
13
62
401
7.2K
kharry_de_prince 리트윗함
Vatican News
Vatican News@vaticannews_pt·
Momento ternura ao final da missa na cidade de Bamenda, #Camarões #PapaLeãoXIV
Vatican News tweet media
Português
298
2.4K
18.6K
252.1K
kharry_de_prince 리트윗함
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni. x.com/swahilitimes/s…
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
9
149
443
4.8K
kharry_de_prince 리트윗함
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Leo, Aprili 16, 2026, viongozi na wanachama wa CHADEMA tumekutana pamoja katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA, Mikocheni, Kinondoni, Dar es Salaam siku moja baada ya Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kufuta (kuondoa) zuio dhidi ya CHADEMA lililotolewa na Mahakama Kuu (Masjala ya Dar es Salaam). Tumepata SUPU, nyama choma, viburudisho n.k. Tumekubaliana kwamba wakitaka tuanze mwanzo, sisi tupo fiti. Mwelekeo wetu ni Tundu A.M Lissu aachiwe huru TUENDELEE TULIPOISHIA. #PeoplesPower ✌️
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
16
103
728
11.9K
kharry_de_prince 리트윗함
Jackson Hinkle 🇺🇸
Jackson Hinkle 🇺🇸@jacksonhinklle·
🇿🇦🇵🇸 Malema STANDS with Palestine! This is why they want to put him in jail.
Jackson Hinkle 🇺🇸 tweet media
English
212
1.2K
6.7K
69.9K
kharry_de_prince 리트윗함
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
CHADEMA HQ +255 744446969 BACK AGAIN IN FULL FORCE. SUPPORT CONSTITUTIONAL REFORMS.
John Kitoka tweet media
English
0
10
23
281
kharry_de_prince 리트윗함
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Asante
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.

Español
9
82
567
8.2K
kharry_de_prince 리트윗함
Amani Golugwa
Amani Golugwa@amanigolugwa·
Asante Sana. Ninathibitisha kuupokea mchango wako. Asante sana Dada @mangekimambi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.

Filipino
8
72
422
6.4K