Licious_tz

10.1K posts

Licious_tz banner
Licious_tz

Licious_tz

@licious_tz

Soulaires, France 가입일 Haziran 2022
470 팔로잉31.2K 팔로워
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
@SkyNews @BarbaraGSerra This person here is encouraging people to kill police and burn petrol stations days before the protest is this a peaceful protest?
English
0
7
7
165
Sky News
Sky News@SkyNews·
@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025. 🌍 trib.al/zff6Z7W
English
256
262
524
94.1K
Licious_tz 리트윗함
CinemaCraze
CinemaCraze@CinemaCraze2026·
This movie are Brutal🎬🔞🔞 10/10 highly recommend for Matured mind💯💯💯
CinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet media
English
4
16
75
13.3K
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
Sekta binafsi ilipata hasara kubwa ya bilioni 89 (71.2%) ikilinganishwa na sekta ya umma bilioni 36 (28.8%). Wajasiriamali wadogo walipoteza bilioni 1.6 kwa mali zilizoibwa wakati wa ghasia. Hii inaonyesha athari kubwa kwa uchumi wa kawaida. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
Licious_tz tweet media
Indonesia
1
7
6
65
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
Jaji Chande Othman alisisitiza kuwa uchunguzi ulidumu siku 153 na kuhusisha maeneo mengi. Watanzania walionesha hamu ya maridhiano licha ya maumivu. Yaliyotokea si taswira halisi ya Utanzania wetu bali ni somo la kujifunza. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
Licious_tz tweet media
Indonesia
1
8
9
120
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
Matukio ya Oktoba 2025 yalisababisha vifo 518 na majeruhi 2,390. Majeraha ya kijamii na kisaikolojia yanahitaji kuponywa kwa pamoja. Rais Samia ametoa wito wa umoja na uwajibikaji. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
Licious_tz tweet media
Indonesia
1
8
9
49
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
Tume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
Licious_tz tweet media
Indonesia
0
8
7
60
Licious_tz 리트윗함
CinemaCraze
CinemaCraze@CinemaCraze2026·
Top movies that will make you horny💯🔞🔞🎬
CinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet mediaCinemaCraze tweet media
English
7
38
496
93.2K
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Tume imeeleza kwamba kilichofanyika hayakuwa maandamano kwa kuwa yalikiuka Sheria za Kimataifa, Kikanda pamoja na Katiba na Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #TumeNaUkweli
Filipino
1
2
2
107
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Tume imependekeza waliotuhumiwa au kutajwa wapewe haki ya kusikilizwa kwa kufanyika upelelezi wa kina ili hatua stahiki zichukuliwe. Wanaharakati uchwara wanataka watu wahukumiwe kabla ya kusikilizwa. #TumeNaUkweli
Indonesia
0
3
3
39
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Tume imependekeza Katiba Mpya ipatikane 2028 ili itumike kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na Uchaguzi Mkuu 2030. Hongera sana Tume ya Jaji Mkuu Othman Chande. #TumeNaUkweli
Indonesia
0
1
0
34
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Tume itakutana tena na Wadau pamoja na Waandishi wa Habari kufafanua taarifa na uchunguzi wa Tume. Tuepuke upotoshaji wa Wanaharati Uchwara. TumeNaUkweli
हिन्दी
0
3
2
47
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Taarifa ya Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 28 imeweka msingi wa kutuongoza kama Taifa ili kupata suluhisho ya malalamiko katika nchi yetu. Tuwakatae Wanaharakati Uchwara na upotoshaji wao. #TumeNaUkweli
Indonesia
0
6
5
49
Licious_tz
Licious_tz@licious_tz·
Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
Licious_tz tweet mediaLicious_tz tweet mediaLicious_tz tweet mediaLicious_tz tweet media
Indonesia
0
3
4
23
Licious_tz 리트윗함
CinemaCraze
CinemaCraze@CinemaCraze2026·
Your country has what?😱😱😱
CinemaCraze tweet media
English
14
10
43
13.2K
Licious_tz 리트윗함
Mzee Mkavu
Mzee Mkavu@Mzee_mkavuu·
Jaji Chande : Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuchocchea wananchi kushiriki ghasia za Oktoba 29 kwa kutumia Kauli Mbiu mbalimbali wakati na baada ya uchaguzi Mkuu, tume ilibaini kuwepo kwa vichochezo mahsusi kwa ajili ya kushiriki
Mzee Mkavu tweet mediaMzee Mkavu tweet mediaMzee Mkavu tweet mediaMzee Mkavu tweet media
Indonesia
1
3
2
75