samkiy๐ซ
901 posts

samkiy๐ซ
@semkey2828
Star man.Educator||Tutor ||Public speaker||Believer||fp.scientist ||physician ||Math in heart . Eagle eye_'Bright future!!



About to make meself a fat ass sammich niteremshe na kachaiiii

The first time i actually got arrested was after highschool . Ilikua on a saturday and my boyfriend akaniambia tuende walk . On the way tukakutana na some two guyz wamevaa civilian , since tulikua tu wawili kwa hiyo road , they stopped us . Kumbe that place watu huwa wanasmoke so walikua wanatembea kushika watu . So they stopped us and ayam telling you would think they were the friendliest people youโve ever met . Hata tulikua tunacheka at first . Then wakauliza jokingly โnyinyi mko huku kuvuta bangiโ. Saa hizo pia sisi tunacheka , then one of them akasearch my boyfriend and i was suprised alitoa a roll of bang kwa mfuko yake , mind you he doesnโt smoke . Anyway hiyo 10k tulitoa huwa inaniuma mpaka wa leo , nkt .๐ญ๐

Out here



















