Voice of Bongo

45.7K posts

Voice of Bongo banner
Voice of Bongo

Voice of Bongo

@voiceofbongo

Welcome to the Official VOB Twitter Page. (Disclaimer: The views expressed here do not necessarily reflect the views of Voice of Bongo

Tanzania 가입일 Temmuz 2015
11.8K 팔로잉63.7K 팔로워
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Mheshimiwa Rais anatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huo.
Filipino
1
1
5
178
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
kilichotokea leo Machi 25, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Indonesia
0
0
0
34
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, anasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani,
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
2
0
5
211
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
kuendana na kasi ya teknolojia ili kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Indonesia
0
0
0
39
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua rasmi programu maalum ya simu (app) itakayowawezesha abiria kukata tiketi za treni ya kisasa ya SGR kwa urahisi zaidi. Uzinduzi wa mfumo huo wa kidijitali ni sehemu ya maboresho ya huduma za usafiri wa reli nchini, sambamba na
Indonesia
1
0
1
120
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Amesema pamoja na mafanikio hayo, takribani asilimia 70 ya maeneo yenye uwezekano wa kuwa na mafuta na gesi bado hayajachunguzwa, jambo linalotoa nafasi kubwa kwa wawekezaji kushiriki katika shughuli za utafutaji na uchimbaji.
Indonesia
0
0
0
27
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Akizungumza katika mkutano wa Powering African Summit jijini Washington Dc Machi 21,2026, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema rasilimali hiyo kubwa inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye fursa kubwa zaidi za uwekezaji katika nishati barani Afrika.
Filipino
1
0
0
50
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Tanzania imeingia katika hatua mpya ya maendeleo ya sekta ya gesi asilia kufuatia kuthibitishwa kwa uwepo wa akiba kubwa inayokadiriwa kufikia futi trilioni 57.54, hatua inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa uchumi wa Taifa.
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
2
0
3
128
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Katika mkutano huo, Naibu Waziri ameambatana na wataalam kutoka TANESCO, PURA pamoja na REA ambao watashiriki kwenye majadiliano kuhusu upatikanaji wa umeme kwa wote, uwekezaji katika ‘Energy Mix’ pamoja na usimamizi na maendeleo endelevu ya rasilimali za gesi na mafuta
Filipino
0
0
0
21
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Mkutano huu wa siku mbili unawakutanisha viongozi wa Serikali, wawekezaji na wadau wa sekta ya nishati kujadili mustakabali wa nishati barani Afrika, fursa za uwekezaji, pamoja na suluhisho endelevu kwa maendeleo ya sekta hiyo.
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
1
0
0
17
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome Makamba akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Else Sia Kanza wameshiriki katika ufunguzi wa awali wa Powering African Summit Machi 19, 2026 jijini Washington Dc. .
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
2
1
1
105
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Katika mkutano huo, Naibu Waziri ameambatana na wataalam kutoka TANESCO, PURA pamoja na REA ambao watashiriki kwenye majadiliano kuhusu upatikanaji wa umeme kwa wote, uwekezaji katika ‘Energy Mix’ pamoja na usimamizi na maendeleo endelevu ya rasilimali za gesi na mafuta.
Voice of Bongo tweet media
Filipino
0
0
0
15
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Mkutano huu wa siku mbili unawakutanisha viongozi wa Serikali, wawekezaji na wadau wa sekta ya nishati kujadili mustakabali wa nishati barani Afrika, fursa za uwekezaji, pamoja na suluhisho endelevu kwa maendeleo ya sekta hiyo.
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
1
0
0
8
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati aliposhiriki futari pamoja na makundi mbalimbali ya wananchi wa Jimbo hilo iliyofanyika mkoani Geita.
Indonesia
0
0
1
126
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
nimesikiliza kwa makini mapendekezo yaliyotolewa na Tume, ambapo pamoja na mambo mengine yanajielekeza kuboresha sera na sheria za kodi, mazingira ya uwekezaji na biashara, mifumo ya Tehama, kitaasisi ya ukusanyaji mapato na maduhuli na utatuzi wa migogoro ya kikodi,”
Indonesia
0
0
0
22
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Hayo yamebainishwa leo Jumatano Machi 18, 2026 wakati Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Baada ya kupokea ripoti hiyo, Dkt Samia amesema: “ndugu zangu
Indonesia
1
0
0
33
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Kilio cha baadhi ya wafanyabiashara kuhusu mfumo wa haki na usawa katika ulipaji wa kodi, kinakwenda kupata muarobaini, baada ya Tume ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kutoa mapendekezo ya kukabiliana na changamoto hiyo.
Filipino
1
0
3
170
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kujumuika katika Iftari ya Pamoja. Shuhuli hiyo adhimu imefanyika katika maakazi ya Mkuu wa Wilaya ni sehemu ya kuimarisha mahusiano, umoja na mshikamano kwa wananchi wa wilaya hiyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
0
0
0
42
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amejumuika na Viongozi wa dini wa madhehebu mbali mbali, Vyama vya Siasa, Taasisi za Serikali na Binafsi, Mashirika na wananchi mbali mbali katika maombi na ibada ya kisomo cha Duah ya kumuombea Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
1
0
0
90
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Kutoka Wizara ya Nishati, Mhe. Ndejembi ameongozana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (Umeme na Nishati Jadidifu), Bw.Nolasco Mlay
Indonesia
0
0
0
15
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Kongamano limeandaliwa na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Taasisi ya Uongozi likiwa na kaulimbiu ya Kuimarisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Maendeleo Endelelevu.
Voice of Bongo tweet media
Filipino
1
0
0
57
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wazalishaji, wasambazaji na watumiaji wa nishati safi ya kupikia katika maonesho yanayoenda sambamba na Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika leo mkoani Morogoro.
Voice of Bongo tweet media
Indonesia
1
0
1
62