Getrude Clement

355 posts

Getrude Clement banner
Getrude Clement

Getrude Clement

@ClementGetrude

🇹🇿 General secretary UNFPA youth advisory panel. Youth representative UNGA.🇺🇳 SRHR & Climate change advocate, Developmentalist

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2021
214 Takip Edilen153 Takipçiler
Getrude Clement retweetledi
viola julius
viola julius@VwalaViola·
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz #KijanaPlus #AfriYANTz
viola julius tweet media
Indonesia
0
12
10
728
Getrude Clement retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest·
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz #KijanaPlus #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
1
14
18
609
Getrude Clement retweetledi
Ms_Genya
Ms_Genya@ScholaDecaprado·
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz #KijanaPlus #AfriYANTz
Ms_Genya tweet media
Indonesia
0
11
11
313
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Eid Ul Fitr Mubarak 🌙
AfriYAN Tanzania tweet media
Eesti
0
6
9
138
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
1
11
11
267
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Uwezeshaji wa vijana ni ufunguo wa uchumi imara – tuwape fursa, ujuzi, na mazingira wezeshi ili wajiajiri na kuajirika. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
2
11
14
253
Getrude Clement retweetledi
viola julius
viola julius@VwalaViola·
Uwezeshaji wa vijana ni hatua muhimu ktk kuimarisha uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira.kuweka mazingira bora, kutoa elimu, mitaji, na fursa za soko, vijana wanaweza kuchangia kikamilifu maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
viola julius tweet mediaviola julius tweet mediaviola julius tweet mediaviola julius tweet media
Indonesia
1
12
15
1.2K
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Uwezeshaji wa vijana ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira. Kwa kuweka mazingira bora, kutoa elimu, mitaji, na fursa za soko, vijana wanaweza kuchangia kikamilifu kwenye maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. #LetsTalkTz | #KijanaPlus
AfriYAN Tanzania tweet mediaAfriYAN Tanzania tweet mediaAfriYAN Tanzania tweet mediaAfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
1
11
14
234
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Afya yako ya akili ni msingi wa mafanikio yako. Usisubiri, chukua hatua sasa tafuta msaada na zungumza. Usihisi upo peke yako, kuna msaada na suluhisho. Tunaweza kuvunja unyanyapaa kuhusu afya ya akili. Jiunge na kampeni ya #LetsTalkTz Tuzungumze afya ya akili. #KijanaPlus
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
2
14
15
310
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Afya ya akili ni msingi wa mafanikio. Tuongee, tushirikiane, na kusaidiana ili kuhakikisha kila kijana anapata msaada kukabiliana na changamoto za maisha. Kupitia #LetsTalkTz, tunahamasisha majadiliano wazi kuhusu afya ya akili, tunavunja unyanyapaa, na kuwaunganisha vijana.
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
1
14
15
237
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Afya ya akili ni haki ya kila mtu. Ripoti ya CAG 2022/2023 inaonyesha ongezeko kubwa la wagonjwa wa afya ya akili kutokana na changamoto za huduma na sera. Tukemee unyanyapaa na tuhamasishe mabadiliko kupitia #LetsTalkTz. #AfriYANTz | #KijanaPlus
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
2
10
12
680
Getrude Clement retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania·
Wapiga kura wa Dar es Salaam.📢 Ikiwa ulijiandikisha mwaka 2015 au 2020 na kadi yako haijapotea, kuharibika, au hujahama eneo ulipojiandikisha HUHITAJI kujiandikisha tena ✅ Sambaza taarifa kwa wengine! #ElimuYaMpigaKura #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
0
12
14
237
Getrude Clement retweetledi
Kreative Karakana
Kreative Karakana@KarakanaKreativ·
Mwl. Yanga Omary atakuwepo Jumamosi hii kwenye #LetsTalkTz ya @AfriYANTanzania. Hii sio ya kukosa. Unaweza kujiongezea uelewa wako kuhusiana na VICOBA kupitia kreativekarakana.co.tz/courses/vicoba… #MadeInTanzania | #Ujasiriamali
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzania

Jiunge nasi kujadili Uwekezaji kwa vijana katika biashara kupitia VICOBA pamoja na muongozo mada wetu @yangaomary Kushiriki katika mjadala huu piga simu au tuma SMS kwa namba +255 765 944 791 #LetsTalkTz #KijanaPlusTz #AfriYANTz

Indonesia
0
8
10
1K
Getrude Clement retweetledi
Ms_Genya
Ms_Genya@ScholaDecaprado·
Wasichana wanastahili elimu bora na fursa sawa. Mimba za utotoni siyo tu changamoto ya kiafya, bali pia ni mzigo kwa jamii na uchumi wa nchi. Tukijenga mifumo ya elimu na huduma rafiki za afya ya uzazi, tunawasaidia vijana kufanya maamuzi sahihi. #LetsTalkTz | #KijanaPlus
Ms_Genya tweet media
Indonesia
2
13
13
1.2K
Getrude Clement retweetledi
Ms_Genya
Ms_Genya@ScholaDecaprado·
Hali ya mimba za utotoni inaogopesha sana aisee... Unadhani nini kifanyike kutokomeza mimba za utotoni?? #LetsTalkTz | #AfriYANTz | #KijanaPlus
Ms_Genya tweet media
Indonesia
2
15
18
1K