David Patrick,MD.

39 posts

David Patrick,MD.

David Patrick,MD.

@david_md1

Katılım Eylül 2020
59 Takip Edilen19 Takipçiler
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
🍻Ndio Ilikua Ijumaa.. . Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana.. . Sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika.. . Ijumaa hii Agnes alikua bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake.. . Wenzake walikua washatoka wanaelekea Kidimbwi kula bata..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
26
99
408
323.2K
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
🚨Toyota Blade - aka a ticking Bomb.. Hii gari kwa ufupi babu zake ni Runx na Allex then wakamzaa Auris.. . Auris akatoa luxury version ndo akaitwa Toyota Blade, na imeingia sokoni 2007-2012.. . Blade ni upscale sibling yani yule ndugu wa matawi ya juu mwenye sifa za ziada..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
45
177
540
0
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Msigwa, hiyo VAT-Value Added Tax (Kodi ya ongezeko la thamani) inakwenda Madagascar? Nani anachukua VAT? BTW, kwanini uchukue government levy na VAT na M-Pesa fees katika chanzo kimoja wakati wa kutuma na kupokea? Ufafanuzi huu waeleze UVCCM, watakupigia makofi. Huo ni UJAMBAZI
Gerson Msigwa@MsigwaGerson

Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au kampuni ya simu na VAT. Mfano anayetuma shilingi 20,000/- makato ya kampuni ya simu ni shilingi 2,288.3/-, makato ya VAT ni shilingi 411.87/- na tozo ya Serikali tunayozungumzia ni shilingi 383/- tu.

Indonesia
28
63
372
0
David Patrick,MD.
David Patrick,MD.@david_md1·
@MsigwaGerson Nyie wekeni tu kila aina ya tozo kwa waTanzania,ila nawakumbusha tu maisha ni magumu sana kitaa....
Indonesia
0
0
1
0
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au kampuni ya simu na VAT. Mfano anayetuma shilingi 20,000/- makato ya kampuni ya simu ni shilingi 2,288.3/-, makato ya VAT ni shilingi 411.87/- na tozo ya Serikali tunayozungumzia ni shilingi 383/- tu.
Indonesia
333
12
89
0
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-) UFAFANUZI WA KINA UTATOLEWA NA WIZARA YA FEDHA
हिन्दी
594
39
391
0
Henry Elias
Henry Elias@HNyerembe·
@david_md1 @zchazuka @samatimemagari Technically,tatizo laweza kua steering system(tire rod ends/track rod ends) Kwa ushauri tu, mwambie rafiki yako afike kwa fundi aneye muamini na atatue tatizo lake mapema maana steering ni systems inayohitaji umakini zaidi kwa ajili ya usalama wake na watumiaji wengine.🙏🙏🙏
Indonesia
2
1
2
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
Mark Matusi.. . Mark X ilikua developed kuvutia vijana ndo maana wakati zinaingia Bongo ziliwavutia vijana wengi sana wa Kitanzania.. . By the time zinaingia zilikua zinakimbizana na gari za gharama kama BMW 5 Series, Subaru Legacy, Mercedes Benz C200, BMW 320i na Nissan Fuga..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Suomi
46
90
261
0
David Patrick,MD.
David Patrick,MD.@david_md1·
@HNyerembe @zchazuka @samatimemagari Kuna gari ya rafiki yangu inasumbua sana stering,kiasi ambacho akiiweka stering katikati gari lazima ihame njia...hivyo inabidi stering ikae upande kidogo ndo gari itulie barabarani....shida yaweza kuwa nn??
Indonesia
1
0
1
0
Henry Elias
Henry Elias@HNyerembe·
@zchazuka @samatimemagari 🔧 Steering system ila kwa uchache. -wheel alignment -wheel balance 🔧Engine mounts. Kwa uchache ni hivyo tu kaka,kila la kheri na naamini utapata ufumbuzi wa changamoto yako.🙏🙏🙏
Filipino
1
1
4
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
JIFUNZE Warning Lights za kwenye dashboard na Maana zake.. . Watu wengi wamekua wakiuliza baadhi ya warning Lights kwenye dashboard na maana zake.. . Hivyo basi tumeona ni nyema kuleta UZI utakaoelezea common signs za kwenye dashboard na maana zake.. . Kaa Vizuri Ule MADINI..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Filipino
109
929
1.1K
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
@david_md1 Kama mshale umepanda then Taa bado inawaka, endelea kutembelea itazima tu.. . Sometime zinachelewa kusoma taarifa flani ni hivyo kuendelea kutumia taarifa za zamani hata kama zimeshapita..
Eesti
1
0
1
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
⚠️NAKUPA HII MBINU: Ya Kibabe Sana Hafu Wadau Wengi Hawaijui.. . Mbinu yenyewe ni Jinsi ya Kubadilia Lugha za Kijapan Pale kwenye Infotainment za gari.. . Nikisema Infotainment nalenga vitu kama Radio na Navigator na blah blah zingine zinazokuburudisha ukiwa ndani ya gari lako..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
55
300
541
0
David Patrick,MD.
David Patrick,MD.@david_md1·
@samatimemagari Dah chuma yangu haina option yakubadili lugha,japo translation iko poa...napambana nayo niweke android tu.
Filipino
1
0
0
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
Utajuaje kama gari ina tatizo katika upozaji wa Engine.. . Nikisema tatizo namaanisha either inachemsha au inapoteza maji kwenye Engine.. . Au upozaji wake hauko sawa sawa ni wa mbinde mbinde.. . Yani gari ikiwaka bonnet inapata Moto utafikiri unachoma matofari huko ndani..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
14
57
112
0