Seaman⚓🇹🇿

12.5K posts

Seaman⚓🇹🇿

Seaman⚓🇹🇿

@imu_carlito

Fans of @ManUtd and @SimbaScTanzania #StaySafe #TagFriends

Dar es Salaam Katılım Ekim 2019
1.8K Takip Edilen19.9K Takipçiler
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
"Si ulisema wanaume wa Dar hatunaga hela, haya na wewe agiza tushindane" 😂😂
Seaman⚓🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
0
0
15
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
dullah_abuu
dullah_abuu@dullah_abuu·
Ila mama Zetu Wana maneno nyie😂😂 Kuna siku niliamka bila Kutandika Kitanda akasema Ni nani huyo amefufuka kama Yesu😂😂💔💔💔💔
Indonesia
82
103
848
38.1K
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
ELIAS🧠
ELIAS🧠@Eliaskaneke·
Si Umeona Hapokei Simu Huyo Hana Time Tena na Wewe Pumzika Tu Kesho Uwahi Kwenye Kibarua Chako.😂😂😂😂😂😂
Filipino
10
24
97
1.8K
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
Homby 🇹🇿
Homby 🇹🇿@Hombyjr1·
Kama wewe na boss wako mnaonana kila siku, hapo wewe na boss wako wote bado mnajitafuta.😅
Filipino
9
25
242
5.8K
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
Chapo Guzmán 🇹🇿
Chapo Guzmán 🇹🇿@GuzmnChapo1·
Kumvumilia Mpenzi wako akiwa kwenye shida haimanishi hatokuacha yeye hajakutuma umvumilie 😂
Indonesia
11
24
117
1.8K
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Mwanamke asiye na Hela anamchukia Mwanaume asiye na Hela, Kweli Masikini Hatupendani😂🤣
Filipino
0
0
0
101
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Sasaivi hata MWIZI hachomwi tena na Petrol nimepishana na mmoja hapa watu wanambembeleza anywe SUMU😂🤣
Indonesia
0
0
3
104
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Kiburi kisikudanganye Uninyamazie sina Akili vizuri Nitakusahau😂🤣
Indonesia
0
0
1
51
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Kuna mtu anafurahia kuitwa mke alafu hata ukweni Hajatambulishwa.. Eeh Mungu saidia hiyo Ng'ombe 😂🤣
Indonesia
0
0
1
84
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Kuachwa na mtu mwenye Mwanya ni Stress tu, kila ukiona Uchochoro unamkubuka😂🤣
Indonesia
0
0
1
54
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
"sema dawa hazikuwa zako zilikuwa za kulevya"
Seaman⚓🇹🇿 tweet media
Filipino
0
0
1
31
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Siku nzima una kuwa busy usiku ikifika haujui ulikuwa busy na nini?😆😆😆
Indonesia
15
18
177
4.1K
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Unadhani UmeniCut off kumbe ivo ndo nilikuwa nataka😂🤣
Filipino
0
0
1
40
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Nahitaji Vijana Wawili Wenye Uwezo Wa Kukimbia Na Sufuria la Pilau Na Nyama Kutoka Magomeni Mpaka Mikocheni..!!😂😂😂
Indonesia
10
14
140
5K
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Ukiwa mnene alafu ukawa Unalilia Mapenzi kwa Mbali unaonekana kama Unalilia CHAKULA😂🤣
Indonesia
0
0
0
53
Seaman⚓🇹🇿
Seaman⚓🇹🇿@imu_carlito·
Wenzako wanashikwa na Cocaine Vietnam, Wewe unashikwa na Bwana za Watu😂🤣
Filipino
0
0
2
76
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Mbaade_·
Nimepita sehemu nikasikia Stori zangu, Kama ni kweli niko vile inabidi nipunguze kula mabeki tatu 😂😂😂
Filipino
7
16
83
1.6K
Seaman⚓🇹🇿 retweetledi
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Kuna vijana wanadate watu wenye umri sawa na wazazi wao Watu mna laana jmn😂
Indonesia
40
29
189
7.7K