Isack Mahumbi

33.6K posts

Isack Mahumbi banner
Isack Mahumbi

Isack Mahumbi

@IsackMahumbi

Husband, Father, MVM Expert #ManU,#YoungAfricanSC

Tanzania Katılım Ekim 2020
20.6K Takip Edilen28.2K Takipçiler
Isack Mahumbi retweetledi
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
🚨 BREAKING: Marekani yaishupalia Tanzania! Mteule wa Trump kuwa Balozi, William Trachman, asema ghasia za uchaguzi wa 2025 "hazitafagiliwa chini ya zulia." Wakati huo huo, Congress inandaa vikwazo (penalties) dhidi ya TZ kutokana na hali ya haki za binadamu. 🇺🇸🇹🇿 #Tanzania #USPolitics #Diplomacy
Laizer Mayon tweet media
Indonesia
8
128
375
11.8K
Isack Mahumbi retweetledi
Mbishi ⚖
Mbishi ⚖@bizy94·
🚨 @SuluhuSamia AMEZIDI KUFANYA HALI KUWA MBAYA ZAIDI!🚨 Tume yake ya uchunguzi haikurekebisha chochote imeifanya hali kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa! Badala ya kukiri wito wake wa kuwauwa zaidi ya WATANZANIA 10,000 ilikua kosa kubwa na kukubali, badala yake amefungua vidonda ambavyo VINAMWAGIKA DAMU HADI LEO! Hali imekuwa ni MBAYA ZAIDI kwa sababu ya kiburi chake! Je, nduli amini mama anaweza kusimama kama ni kiongozi wa kweli na kuachia madaraka?,, au ataendelea KUWADANGANYA Watanzania? MUDA UMEKWISHA, Suluhu! Siku zako tunazihesabu! TANZANIA IMECHOKA NA UTAWALA WAKO WA DAMU! 🔥 #SuluhuAachieNguvu #HakiKwaTanzania #AachieNguvuSasa #TanzaniaInainuka
Indonesia
4
42
115
4K
Isack Mahumbi retweetledi
Bubelwa Kaiza
Bubelwa Kaiza@BubelwaKaiza·
Tafadhali wasogezee akina Chande, Juma & 7 others Co. ujumbe huu murua na mahsusi kwao! Tuwasaidie kujitambua kuwa hivi ndivyo walivyo na umma Watanzania ndivyo unavyowatambua. Chawa hao!
Bubelwa Kaiza tweet media
Indonesia
1
57
166
2.8K
Isack Mahumbi retweetledi
Ulimwengu Nyota
Ulimwengu Nyota@UlimwenguN74598·
ZXX
0
34
151
3.9K
Isack Mahumbi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Spana ambazo Serikali haram ya Idd Amin Mama inapigwa kuhusu Report ya Uwongo ya Tume ya Jaji Chande zimewavuruga sana. Juzi kati Lazaro Nyalandu alipanga kufanya Interview na media moja hivi ya Kimataifa ili azungumzie Report ya Chande, alienda studio za Media hiyo vizuri tu, kila kitu kikawa tayari kwa ajili ya kuanza Interview. Kabla hata hawajaanza kurekodi akapigiwa simu moja tu akaambiwa asiendelee na hiyo Interview yake kwasababu Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imeamua kwamba mtu pekee ambae atazungumza kuhusu Report ya Jaji Chande ni Profesa Kabudi na Watu wa Tume tu. Nduli Idd Amin mama anataka Kabudi ndo awe anazungumza kwasababu yeye ndo Muandishi wa Report hiyo, anajua matakataka yote ambavyo wameweka ndani ya Report hiyo. Basi ikabidi jamaa asitishe kila kitu na kuondoka zake mdogo mdogo yani kama jamaa aliambiwa punguza kiherehere.😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
39
117
803
46.1K
Isack Mahumbi retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Ni kweli kabisa kuwa Chadema ndiyo kiongozi wa Ukombozi wa Pili wa Tanzania kutoka katika mikono ya serikali haramu na ya majahili ya CCM.
Indonesia
9
63
213
3.8K
Isack Mahumbi retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
DOCUMENTARY ya wananchi inaonesha matukio yote makubwa yaliyosababisha maandamano ya tarehe 29.10.2025 , nenda MO29TV YOUTUBE ukatazame. Link youtu.be/pNIGxMBGqWg?si…
YouTube video
YouTube
Filipino
2
91
353
7.8K
Isack Mahumbi retweetledi
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Madeleka: ‘Waliotaka kupindua Serikali walikuwepo nchini miezi sita kabla, halafu polisi hawajui’
Indonesia
6
53
254
6.7K
Isack Mahumbi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. @rugemeleza amezungumzia kilichojiri leo tarehe 30 Aprili 2026 katika shauri linalohusu maombi ya Mheshimiwa Tundu Lissu ya kuunganishwa katika kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu.
Indonesia
3
61
386
8.7K
Isack Mahumbi retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Maelfu wamesaini wito kulitaka Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kumfuta kazi Jaji Chande. Chande ni sehemu ya washauri wa Baraza kuhusu haki za binadamu Sudan. Alitumia turufu hiyo kujaribu kumsafisha muuwaji Samia huko UN. Kwa ripoti ile, hana tena uhalali.
Indonesia
34
266
1.3K
19.9K
Isack Mahumbi retweetledi
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Kata ya Matamba, Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe wakiandaa udongo kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya chama ya Kata mapema leo. Hii conviction waliyonayo hawa watu kwa Chama chao hakuna chama hapa Tanzania kinaweza kuifikia. Huwezi kuiua Chadema kirahisi kama wachache wenye Mamlaka wanavyodhani.
Rose Mayemba tweet mediaRose Mayemba tweet media
Indonesia
11
51
302
9K
Isack Mahumbi retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuhusu mwenendo wa shauri linalohusu maombi ya Mheshimiwa Tundu Lissu ya kuunganishwa katika kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu. Leo asubuhi, Mheshimiwa Tundu Lissu amefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kusomewa uamuzi mdogo kuhusiana na maombi hayo ya kuunganishwa kwenye shauri hilo. Katika mwenendo wa shauri hilo, kuna mambo muhimu ya kisheria ya kuzingatia: Kwanza, maombi ya Mheshimiwa Lissu yalisikilizwa na Mheshimiwa Jaji Mwanga, ambaye kwa mujibu wa taratibu za kisheria alipaswa kutoa uamuzi kuhusu maombi hayo. Pili, inafahamika kwamba jalada la kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu tayari lilikuwa limeondolewa katika mahakama iliyokuwa inalisikiliza awali na kuhamishiwa mbele ya Mheshimiwa Jaji Ngunyale kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria. Hata hivyo, Mheshimiwa Jaji Mwanga ametoa uamuzi wa kuyakataa maombi ya Mheshimiwa Tundu Lissu ya kuunganishwa katika shauri hilo.
Indonesia
19
106
368
13.2K
Isack Mahumbi retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
‼️TUNDU LISSU HATARINI !! ‼️ Leo kumetokea tukio ambalo limeshitua watu wengi namna lilivyotokea. Tundu Lissu amepelekwa mahakamani bila taarifa kwa CHADEMA, mawakili wake na familia yake. Mwanzo, ilichukuliwa kama tabia mbaya na ukatili tu wa hawa CCM, hasa serikali ya Samia, imetenda matendo mengi sana yenye utata na ukatili. Lakini wazungu wanasema 'The devil is in the details.' Kuna mambo mawili yaliyovuja na yanahusiana na tukio la leo. - Moja, siku usiku uliopita na jana, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam (RPO) jana usiku amekuwa na shughuli nyingi sana kuhusu Lissu, kutoka kwenye ofisi yake wanasema alikuwa na kikao kirefu sana na mkuu wa magereza wa Ukonga, kikao kirefu sana. Kutokana na kikao hiki, mambo mengi yamebadilika hapo magerezani kwa mazingira yanayomzunguka Lissu. - Kutoka kwa Ofisi ya RPO ime leak kwamba yeye na maafisa wengine, hasa yeye, ndiyo link yake na watu wanaompangia mabaya Lissu akiwa gerezani. Maagizo mengi yanapigwa kwake kwa utekelezaji, kwenda kwa maafisa wengine wa magereza. Japokuwa kuna mengine yanakwenda moja kwa moja pale gerezani kwa mkuu wa magereza - Mbili, Hii ni hatari na mpango mchafu. Kutoka Zanzibar, kile kikosi alichosema @HildaNewton21 ambacho kilipangwa kuja kumfanyia uovu Lissu, wanasema kiko Dar tayari kwa hiyo shughuli waliyo panga. Na ndiyo maana baada ya @HildaNewton21 kuandika, polisi walipaniki. Malengo wanataka hao wahuni wakishafanya uchafu wao wapotee huko Zanzibar, hata askari magereza wa huko hawatatoa taarifa walikuwa ni kina nani. Kikosi hicho cha Zanzibar si wote ni askari. Hili suala alilosea Hilda sasa liko kwenye utekelezaji la leo ni moja ya hizo siku wamefanya vitu vinashangaza watumishi wa umma wazalendo - Leo, tukirudi kwenye tukio la leo, jana usiku RPO Dar ameangaika kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo ni kwamba tumethibitisha na baadhi ya wazalendo mahakamani kuwa KIKOSI KICHOMPELEKA LISSU MAHAKAMANI leo ni kipya kabisa. Hapo mahakamani hakuna anayewajua waliokwenda na Lissu, haijulikani walitoka wapi, na kuna hofu sana kuhusu kinachoweza kutokea na hawa wasiojulikana. - Sasa Mafwele na Makonda huu mpango wenu mnaouyafanya mnaona una baraka zozote za Mungu ndani yake? Mnafikiria kwamba mnayotaka kumfanyia Lissu Umma utakubali? Lissu akitoka magereza au akiendelea kuwa gerezani dhamana ya afya/uhai wako huku juu yenu kwa muda mrefu msije mkajichanganya. Hizi kazi za Abdul mnazofanya na siasa chafu za Makonda kwa kufikiria anaweza kuondoa wanasiasa imara wote nchini , sababu ya ndoto za kisiasa ni kupoteza muda tu. Acheni na hii mipango yenu mibaya na kama leo mmefanya kitu chochote kupitia hiki kikosi mlichokitumia kumpeleka mahakamani kisichojulika, ni bora mkarekebisha mapema maana hakuna namna mtaweza kujificha na huu uchafu mnaopanga. - Wewe RPO wa Dar, hizo tamaa na ujinga unaokusumbua utakuponza, hauna kinga zozote za kufanya upuuzi huu unaoendelea utafungwa sababu ya huu upuuzi . Lissu anafuatiliwa na jumuiya za kimataifa na wananchi wote wa Tanzania hawatokubali huu upuuzi mnafanya au kupanga kufanya, hata Ndugai na Lukuvi walikuwa na kiburi kuliko wewe. Na walifanya kazi mbaya nyingi sana wako wapi leo? Wamefanya nini? - Kwa maafisa wa magereza, msikubali kufanya kitu chochote bila proper document au Taratibu, msikubali hicho kikosi kipya kuwapa amri kufanya mambo ya kihuni, hao ni wasiojulikana wakishafanya mambo yao wewe uliyepozamu ndiye utajibu dunia yote hii, Chande alionywa akakaza shingo lakini leo anajutia huko analia kama mtoto mdogo, pesa alizopewa wala hazina tena thamani, Msikubali kufanyishwa kazi chafu, kwanza pesa wanakula wahuni wengine msikubali kabisa kushiriki fuateni taratibu na aangalieni kwa makini sana vitambulisho mnavyopewa na hao wahuni wanapokuja, pia jifunzeni kufanya upelelezi mtu yeyote mpya anayekuja kwa issue ya Lissu anakuambia ameamia sijui kutoka wapi jua anakudanganya, kama kuna mtu ameongozana naye ambaye ni boss wake mfano Mafwele mwambie asinishwe yeye , jiwekeeni kinga mifumo inawahuni watafanya tukio mtafungwa nyie - Kumbukeni. Juzi hapa Chande amesema waliouawa watawajibika wao kama maaskari waliobeba bunduki, hakuna askari atakingiwa kifua na hawa watu. Fanyeni kazi zao ili wakianza, pelekewa moto kimataifa mtajikuta mmeingizwa. Kumbukeni mkifanya ujinga, vipimo vyovyote kuhusu Lissu, wananchi tutachanga hela, yaje mashirika kutoka Marekani kufanya vipimo. Hakuna namna kutakuwa na siri yoyote hapo na itajulikana mpaka nini kilifanyika na lini. Makonda na Mafwele hawana akili ya kufanya tukio la maana, ni wahuni tu. Mambo yao wanayofanya yanavuja kila siku na ndio maana leo, hivyo kikosi kimejulikana tena kutoka kwa ofisi ya RPO na hakuna namna atajua habari zimetoka vipi, maana ni mjinga tu, naye asiwapelekeshe. Hizo ofisi za umma zina wazalendo wengi, tena toka mmeshindwa, watu wazalendo wameongezeka kila kona. x.com/HildaNewton21/… -- Makonda , Mafwele na Abdul na huyo iddi Amini Mama eleweni kitu kimoja, Wananchi wamechoka umwagaji Damu, wamechoka sana -- Watumishi wa Umma kwenye vyombo na mahakama wameshashituka kuna mambo mnafanya nje ya utaratibu na wanajua mnataka fanya nini , Watumishi wa umma wanajua wakiona sura za wahuni hata kama watavaa soski mwili mzima, watu sio wajinga wanajua na wanajua nini kinaendelea, Watumishi wa mahakama wanasema kikosi chote leo ni kipya kabisa choteeeeeeeeee na mmewatia hofu, -- Kila mtu ameshashituka tunaelekea kwenye msimu wa mauaji makubwa ya wanasiasa na wanaharakati hili kuiteka nchi , hapo ndipo mtachemsha vibaya sana
Indonesia
31
146
491
32.4K
Isack Mahumbi retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Leo nimemsikia MWABUKUSI yule niliekesha kumpigia kampeni—nimemsikia kwa TONE ya uchungu sana akimpigania KIONGOZI wake mstaafu TUNDU LISSU. Sijajua mgeni Rasmi alikuwa nani ila ujumbe umefika KUNAKO.
Indonesia
11
169
1.4K
21.8K
Isack Mahumbi retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
‼️MUHIMU SANA‼️ Tafadhali unga mkono wito huu wa dharura wa kupitia upya, kumvua sifa, na kumuondoa Mohamed Chande katika jukumu lake la kitaalamu ndani ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, pamoja na kuanzisha uchunguzi huru nchini Tanzania. Kwa mshikamano na watu wa Tanzania waliotayarisha mawasilisho haya, tunatoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia, harakati mbalimbali, na kila anayejali ukweli, haki na uwajibikaji kusimama na kuongeza jina lake kwenye barua hii. Tunakataa kukubali ukimya, upotoshaji na hali ya kutowajibika mbele ya mauaji ya halaiki. Hatuwezi kuruhusu walioko madarakani kubadili simulizi au kuondoka bila kuwajibishwa. Haki haitolewi bure—hupiganiwa kwa pamoja na kwa uthabiti. Ongeza sauti yako, unga mkono barua hii, na uwe sehemu ya msukumo unaodai ukweli, uwajibikaji na matokeo halisi. Pitia na Uunge Mkono Hapa: bit.ly/DisqualifyChan… Mwisho wa muda: Jumamosi, tarehe 2 Mei
Indonesia
10
120
595
19K
Isack Mahumbi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Swali jingine @millardayo alijuaje kwamba leo asubuhi Mhe. Lissu atafikishwa Mahakamani mpaka akatega na Camera yake kabisa kabla hata Mhe. Lissu hajafika Mahakamani..? Means Millard alikuwa na taarifa ila Chama na Mawakili tu ndo hawakupewa taarifa mambo ya hovyo kabisa. Lengo la Serikali kufanya hivi ni nini au nikisema hawa watu wanania ovu na Mhe. Lissu Kingai anasema niende kujisalimisha, nyambafuuu
Indonesia
38
130
465
17.7K
Isack Mahumbi retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hizi ndio kauli ngumu wanazopenda hawa VIBAKA—kinyume na hapo hawa WASENGE wanatuona kama mikundu yao. Asante Raisi BAK kusimama na TAL hadharani na kuwakumbusha WAKOLONI WEUSI #FreeTunduLissu REPOST 500
Filipino
16
223
1K
15.7K
Isack Mahumbi retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Asante sana wakili msomi Mwabukusi Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁 #FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Indonesia
25
315
1.2K
20.4K
Isack Mahumbi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Tundu Lissu sio mhaini kama Tundu Lissu anawasumbua kisiasa basi futeni fumo wa Vyama vingi.”-: “@Mwabuk2Boniface
Indonesia
21
267
1.1K
16K