Mashujaafcofficial
98 posts

Mashujaafcofficial
@Mashujaa_fc
The official account of mashujaa football club.
Kigoma, Tanzania Katılım Şubat 2025
24 Takip Edilen105 Takipçiler


Viingilio rafiki kwa kila mtanganyika kushuhudia mchezo wetu wa kwanza wa 'nbcprimierleague' dhidi ya JKT Tanzania. ⚽️🦍
Tukate tiketi zetu mapema tar 18.9. 2025 tukaijaze lake Tanganyika mapema kabisa.
#mapigonamwendo
#tishiojipya
#mashujaawalaketanganyika
#fahariyakigoma

Indonesia

Vile wanetu wa bodaboda wakisubiri michezo yetu miwili iliyobaki😍🃏
Nb: Hakuna matata, tukutane June 18 na June 22 tutupe karata zetu za maajabu🦍💪🏻
Follow @Mashujaa_fc
#mapigonamwendo
#shujaahasalitichama
#mashujaawalaketanganyika
#fahariyakigoma

Indonesia

Kheri ya siku ya Mama Duniani 👸🏻🦍
#mapigonamwendo
#shujaahasalitichama
#mashujaawalaketanganyika
#fahariyakigoma

Indonesia

TUMEKUJA KUIMALIZA SAFARI YAO😍🦍
#NextMatch
Kagera Sugar 🆚️ Mashujaa Fc
🏆 #NBCPremierLeague
🕓 Saa 12:30 Jioni
🗓️ 12.05.2025
🏟️ Kaitaba Stadium
NB: Mapigo ni yaleyale na Mwendo ni uleule🦍💪🏻
#mapigonamwendo
#shujaahasalitichama
#mashujaawalaketanganyika
#fahariyakigoma

Eesti

Mapigo na Mwendo imewafikia Wahadzabe😍🦍
@sologo_jr
#mapigonamwendo #mashujaawalaketanganyika #shujaahasalitichama
#fahariyakigoma
Filipino

@SimbaSCTanzania Asingekuwa refa leo kingewaka. Mshukuruni sana refa 🤣🤣
Indonesia

Ila nyie hawa kwa kubebwa nafikiri wanaongoza 🤣🤣🤣
Full Time
Simba Sc 2️⃣-1️⃣ Mashujaa Fc
#mapigonamwendo
#mashujaawalaketanganyika
#shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia

Gym kuweka mili sawa🦍💪🏻
#mapigonamwendo
#mashujaawalaketanganyika
#shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia

Safari ya maajabu haitamuacha mtu salama🦍💪🏻
@agreymalick26
#mapigonamwendo
#mashujaawalaketanganyika
#shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia

Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Kwa 'Digital Manager' na Muundaji wa Maudhui wa klabu yetu
Tunakutakia kila lililo jema, Watanganyika tunajivunia sana Uhodari wako na Uchapakazi wako🦍💪🏻
rugegera
#mapigonamwendo #shujaahasalitichama #mashujaawalaketanganyika

Indonesia

Viingilio vya Mchezo wetu dhidi ya Fountain Gate Fc ⚽🦍
Nb: Usikose safari ya maajabu, Tukutane Lake Tanganyika
#mapigonamwendo
#mashujaawalaketanganyika
#shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia

Kete imeangukia kwa watoto wa shule🎯🦍
#NextMatch
Mashujaa Fc 🆚 Fountain Gate Fc
🏆 #NBCPremierLeague
🕓 Saa 10:15 Jioni
🗓️ 05.04.2025
🏟️ Lake Tanganyika
NB: Tunaianza safari ya maajabu🦍💪🏻
#mapigonamwendo #shujaahasalitichama
#mashujaawalaketanganyika
#fahariyakigoma

Indonesia

Tunayo furaha kuwatangazia Watanganyika na wadau wa mpira nchini kwamba tumeingia makubaliano na kocha Salum Mayanga kuifundisha timu yetu.
Karibu sana shujaa Salum Mayanga kwenye himaya ya Watanganyika🦍💪🏻
#mapigonamwendo #mashujaawalaketanganyika #shujaahasalitichama

Indonesia

Hakuna kupoa mazoezi yanaendelea kwenye uwanja wetu wa kujidai 'Lake Tanganyika' 💙🦍
#mapigonamwendo
#mashujaawalaketanganyika
#shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia

@YoungAfricansSC Wengine walikimbia walijua kinachoenda kutokea hiki kipigo kilikuwa kinawahusu 😂😂😂
Filipino

Tunampongeza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania @tanfootball (TFF), Wallace Karia, kwa kuchaguliwa kuwa Mjumbe Kamati ya Utendaji wa CAF
#mapigonamwendo #mashujaawalaketanganyika #shujaahasalitichama
#fahariyakigoma

Indonesia




