Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro
5.1K posts

Mwana-Ngorongoro
@MNgorongoro
Kweli itatuweka huru
Katılım Şubat 2021
20.8K Takip Edilen30.1K Takipçiler
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Ooh chadema itakufa na hiki ni chama Gani? Chadema haitakufa hata siku moja Mungu yuko pamoja nasi hiki ndo chama cha watanzania🇹🇿 wote hakuna chama kingine zaidi ya hiki chama cha wapenda haki na maendeleo ya nchi yetu
#UshindiTunaoSisi

Indonesia
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Zoezi la upandishaji bendera Jimbo la Moshi vijijin likiendelea Leo Kata ya Kibosho kati.
Hakuna kulala 💪
#SisindioTunduLissu


HT
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi

CCM died on 29 October 2025
It doesn’t know it is dead! So it continues to haunt Tanzania and Tanzanians! And the world sees the shadow and thinks it exists in this realm
As a political party it is dead! Who will in their right mind in a free and fair election ever vote for CCM? No one! Not even its current members
CCM ilikufa rasmi Oktoba 29 , 2025 ila haitaki kukubali kuwa imekufa!
Mtanielewa tu kama bado #TutaelewanaTu

English
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Mwana-Ngorongoro retweetledi

Kuta za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Rukwa zimeanza kutikisika kufuatia uamuzi wa kundi la wanachama wa chama hicho kujiengua na kujiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Wanachama hao wameamua kukabidhi kadi zao leo, Aprili 26, 2026, wakidai kutafuta mwelekeo mpya wa kisiasa wenye tija kwa
wananchi wa mkoa huo.
Tukio hilo limejiri katika Kata ya Kirando, Jimbo la Nkasi Kaskazini, ambapo Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Rukwa na Mbunge Mstaafu wa jimbo hilo, Aida Khenani, amewapokea na kuwakabidhi kadi za uanachama. Mapokezi hayo yamefanyika wakati wa kikao maalumu cha Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA) kilicholenga kupanga mikakati ya uimarishaji wa chama mkoani humo.
Aida Khenani, akiwa ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa, Paulina Mwaitalako, amesema kuwa kuingia kwa wanachama hao ni ishara ya ukomavu wa kisiasa na uchovu wa wananchi dhidi ya mfumo wa sasa.
“Leo tunawapokea ndugu zetu hawa walioamua kujiunga na jeshi la ukombozi. Hii ni thibitisho kuwa kule tunakokwenda ni kuzuri zaidi. Nkasi Kaskazini tunaanzia tulipoishia, na sasa jeshi letu limeimarika zaidi.
Waambieni majirani tukutane mzigoni,” amesema Aida Khenani huku akipigiwa vigelegele na wanachama.
Wanachama hao wapya wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo kutokana na kuvutiwa na misimamo ya CHADEMA katika kutetea rasilimali za nchi na haki za wananchi wanyonge.
Viongozi wa BAWACHA mkoani Rukwa wamesisitiza kuwa kuongezeka kwa wanachama hao ni chachu ya kuendeleza harakati za kura na maendeleo, huku wakiahidi kuendelea kugusa maisha ya wananchi kuanzia ngazi ya msingi ili kuhakikisha chama kinashika hatamu katika maeneo mengi zaidi mkoani humo.
Indonesia
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Ni genius, mwanaharakati nguli, mwanasiasa machachari, mwanasheria wa viwango vya kimataifa, kiongozi imara na shupavu.
@TunduALissu ni best human in history, kwa Tanzania itachukua zaidi ya miaka elfu 10 kutokea mtu kama huyu.
Ukweli mchungu!

Indonesia
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Nguchiro ni mnyama bingwa wa kuua nyoka
Mwambie Girshon hiyo - sisi tunamaliza nyoka wote Tanganyika - ajipange 😁👊🏽
#TutaelewanaTu

Filipino
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akipokea taarifa ya maauji ya tarehe 29 Oktoba 2025 katika eneo la Msuguri, Jimbo la Kibamba.
Indonesia
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Hiki chama ni mpango wa MUNGU kwa watanzania.
Vuta picha zama hizi za GIZA wao wameamua kusimama upande wa WANANCHI. Wamepitishwa nyakati ngumu kwa msimamo wao huo lakini bado wamesimamia imani yao.
Ndiomaana watanzania hawaoni shida kutoa buku buku zao kukiendesha chama CHAO ambacho kimeamua kusimama upande wao.
Na hiki ndio kinawatesa WAKOLONI WEUSI. HAKUNA hata mtu mmoja anaewasikiliza wakoloni weusi—ila CHADEMA inasikilizwa kwa wivu mkubwa sana.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—hiki chama kimeamua kukataa kuketi meza yenye DAMU za ndugu zetu kwa kile kinaitwa “Maridhiano”, hii ni heshima kubwa sana tumepewa watanzania.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—maana hiki chama kinapoteza viongozi wao na wanachama wao kila kukicha kwa KUTEKWA kwasababu ya msimamo yao ya kudai haki za watanzania.
Tuendelee KUFANYA IBADA YA KWELI kwa kuichangia “CHADEMA NA TONE TONE” ukombozi unakuja.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Jamaa anamkubali Mhe. @HecheJohn kiasi kwamba kashindwa kuzuia furaha yake mara baada ya kumuomba Mhe. Heche.
Filipino
Mwana-Ngorongoro retweetledi

Jana nilifurahi sana kuonana na Mzee wangu Richard Mabara, huyu Mzee ni Mzalendo sana.
#Statesman

Filipino
Mwana-Ngorongoro retweetledi














