mocu_official
564 posts

mocu_official
@MoCU_Official
Official page of Moshi Co-operative University Instagram page: mocu_official_page
Kilimanjaro, Tanzania Katılım Eylül 2023
10 Takip Edilen83 Takipçiler

Viongozi mbalimbali wa vyama vya ushirika na taasisi za kijamii wakiendelea na mafunzo ya kuwajengea uwezo kwa siku ya tatu.
Mafunzo hayo yanatolewa na wawezeshaji kutoka MoCU kwa ufadhili wa @weeffect



Indonesia

Ugeni kutoka Chuo cha York Canada umetembelea MoCU lengo likiwa ni kushirikiana na Chuo ili kuweza kuleta wanafunzi wa "MBA executive program" kwenye mafunzo kwa vitendo hususani katika vyama vya ushirika
@YorkUniversity




Filipino

Picha mbalimbali zikionesha viongozi wa Vyama vya Ushirika na taasisi mbalimbali za kijamii wakipatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na wawezeshaji kutoka MoCU.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa muda wa siku tano kuanzia leo na yanafadhiliwa na @weeffect




Indonesia



























































