Sky Refrigeration Service
10 posts


@fatma_karume Kweli miaka 60 ya uhuru bado kuna shule kama hiyo uwongo
Filipino

Nguzo muhimu kwenye UKRISTO ni:
“Mfanyie mwenzako unavyotaka kufanyiwe wewe”
Je, Joyce Ndalichako utakubali mtoto wako au mjukuu wako asome shule kama hii.
Leo ukienda Kanisani tafakari hilo.
Mchokozi !!@OleMtetezi
Hii Ni Shule Ya Msingi Ivungwe, Iliyopo Kijiji Cha Ivungwe Kata Ya Kasokola Wilaya Ya Mpanda Mkoani Katavi!!
Filipino

@HKigwangalla Kweli lakini inasumbua vichwa va watu
Indonesia




