Aila
766 posts

Aila
@Ailavoice
Ailavoice is a singer and songwriter known for her soulful voice and her ability to blend different genres of music to create a unique sound
Tanzania Katılım Ocak 2014
287 Takip Edilen1.6K Takipçiler
Aila retweetledi

Nimekutana na hii kitu amefanya @Ailavoice … Watu wangu nauliza AMEPATIA au ARUDI STUDIO TENA??
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Eesti

@ProchTz @AyTanzania Fun Fact: Ilikuwa niruke kuimba hichi kipande bana! Ila nikasikiza tena na tena, nikasema AY hawezi kuwa alijisemeaga tu "pata mapoo" 😅 So I said AY is not an Idiot I have to understand what he was saying! Usitake kujua ile sekunde nilivojua alichokisema namna niliruka ruka!😅😅
Filipino

@IdrisSultan Wakuache bana, icho kichwa kinaonekana kabisa ni cha baunsa
Indonesia

@fatma_karume Kuna chuki kubwa iliyotengenezwa kwa (kivuli cha Dini) wakati kiuhalisia Binadamu ni Binadamu tu kabla ya Dini.
Wanaoamini Mungu, Mizimu, Ng'ombe pamoja na tofauti zao za Ki Imani wote ni BINADAMU
Straight/ LGbTQ wote ni BINADAMU
Na kama ni hivyo Basi, wote wana HAKI ZA BINADAMU
Indonesia

@Ms_Dahir @SuluhuSamia Kwa serikali michezo ni kama nyongeza tu usije kushangaa one day ukaikuta kwenye utalii
Indonesia

Inasikitisha sana kuona wizara ambayo inasimamia mambo ya vijana imewekwa sehemu ambayo imesahaulika kabisa.
Mh.Rais @SuluhuSamia napenda kupendekeza kuwa; wizara hii itizamwe upya, pia tunahitaji waziri aendane na kazi za wizara, waziri kijana atatufaa zaidi. Shukran. 🙏🏻
Indonesia

Happy 20th of the 12th month of 2020 (2222)
#OneneNalitogwa instagram.com/p/CJBuwe7AgEt/…
English

Tunayo Today Kesho sio Granted,
Shilingi Mahitaji ila pumzi ni most wanted #ONENE instagram.com/stories/ailavo…
Filipino









