

Amnesty Eastern Africa
6.3K posts

@AmnestyEARO
Amnesty International in East Africa, the Horn, the Sudans and the Great Lakes.












TAARIFA KWA UMMA Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tunalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi kwa matukio yenye sura ya utekaji nchini, kwani ni tishio kwa uhuru wa raia, usalama wa wananchi pamoja na utawala wa sheria. Tunatoa wito kwa vyombo vya dola kuhakikisha sheria, taratibu za ukamataji na haki za msingi za binadamu zinazingatiwa ili kurejesha imani ya wananchi na kulinda misingi ya demokrasia na haki nchini.












