🚨BREAKING
Yanga SC 🇹🇿 are in intensive talks with former Mamelodi Sundowns 🇿🇦Wydad Casablanca🇲🇦 coach, Rhulani Mokwena🇿🇦 (38).
Mokwena🇿🇦 is ready to reduce his salary to come to Yanga SC 🇹🇿 but Orlando Pirates 🇿🇦are interested in Mokwena 🇿🇦.
🚨 BREAKING
Simba SC 🇹🇿, Yanga SC 🇹🇿 and Azam FC🇹🇿 have at different times held talks with the camp that manages the attacking midfielder, Seleman Bwenzi🇹🇿.
The midfielder has become a pearl in the market following the excellent form he has shown this season
🚨OFFICIAL
Kaizer Chiefs 🇿🇦,Yanga SC 🇹🇿 and Simba SC 🇹🇿 are interested in Azam FC 🇹🇿midfielder, Feisal Salum Abdalah 🇹🇿.
All clubs has already put the offer on the table, player camp is now analysing every offers.
🚨
Azam FC🇹🇿,Yanga SC🇹🇿,APR SC🇷🇼,Simba SC🇹🇿 and Singida Black Stars🇹🇿 have shown a strong intererest to the experienced Ghanaian defender Nii Noye Samuel Narh(30)🇬🇭 who is current a free agent
No club have reached an concrete talks It's just initial asking
𝐍𝐎 𝐃𝐍𝐀, 𝐣𝐮𝐬𝐭 𝐑𝐒𝐀! 🚨🇿🇦
Whatever happens this year, there will be a South African Club in the 2024/25 CAF Inter Cup Competition Final.
This year, is for them! Well deserved! 👏
#cafclwithmicky#cafccwithmicky
1. TAFUTA JINA LAKE KWANZA
Unapomtaka demu mkali mtaani kwako, kitu cha kwanza kabisa ni kutafuta jina lake. Hili litakusaidia kumshangaza.
Wanawake huwa hawapendi sana kujulikana, kwa hiyo ukionana naye kwa mara ya kwanza na ukamuita jina lake, atashangaa. Atasimama, akikuuliza: “Umenijuaje? Nani kakwambia jina langu?” Usiogope. Tabasamu. Hilo pekee litamfanya akuchukulie kama mtu mzuri.
Kisha mpe jibu la kuvutia, ambalo litamfanya akufikirie na hata kukuulizia baadaye.👇🏽
JINSI YA KUMVUTA DEMU MKALI KARIBU YAKO. 🫂
Kuna watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kama wewe ni mmoja wao, hii ni kwa ajili yako.
OPEN SHORT THREAD 🧵
Hongera sana.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umesema Katibu wa NETO Daniel Edger Mkinga amekamatwa Kibaha Miembe Saba nyumbani kwake majira ya usiku wa saa tatu kasoro kwa tuhuma za kuwepo kwenye Jumuiya ya NETO ambapo waliofika nyumbani kwake kumkamata ni Balozi, Mjumbe na Askari watatu kutoka kituo cha Polisi Maili Moja Kibaha, Pwani.
Taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa NETO, Agnesss Mpundi imesema “Tunaomba Wanasheria wenye mapenzi mema na Shirika la Utetezi wa Haki za Binadamu watusaidie kupata uhuru wake, tunaeendelea kuwakumbusha kuwa NETO sio Chama cha kisiasa, genge la Wahalifu wala halina nia yoyote ovu dhidi ya amani ya Nchi yetu, adhima kuu ya NETO ni kuomba ajira za Walimu wa Serikali na kusisitiza kufanyia kazi makala tuliyoiandikia Serikali”
“Kwa Wakazi wa Dar es salam na Pwani kwa ujumla,(Walimu tusiokuwa na ajira) tukutane leo katika kituo cha polisi Kibaha Mail moja kumwona katibu wetu Daniel, aliyekamatwa hapo jana usiku, sisi sio Wahaini, tunataka ajira, ajira ni haki yetu”
Itakumbuka juzi Mwenyekiti wa NETO Joseph Paulo Kaheza alikamatwa na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Geita (RCO) kisha akaachiwa kwa dhamana jana ambapo Polisi walisema walimkamata kwa mahojiano kwa kuongoza umoja huo ambao haujasajiliwa.
#MillardAyoUPDATES
Eng. Hersi Said says, we chose Morocco as ACA’s headquarters because of the following factors put together:
• facilities
• support
• environment of football
• economical stability
• security
#AfricanFootball#ACA
Wasailiwa mbalimbali wa Kada za Ualimu wakiendelea na Usaili Mkoani Kigoma.
Usaili huo unafanyika Nchi nzima Ili kupata walimu watakaoajiriwa katika Utumishi wa Umma