Chama Cha Mapinduzi

18 posts

Chama Cha Mapinduzi

Chama Cha Mapinduzi

@CCMTanzania

Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Tanzania Katılım Ekim 2010
275 Takip Edilen2.7K Takipçiler
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Hatutalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika vinadaiwa na mabenki mpaka walioyasababisha wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria.
हिन्दी
72
126
96
0
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Ramadan Kareem to all our brothers and sisters in Islam. May Allah grant us more patience in dealing with each other and ourselves.
English
202
317
233
0
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Muungano wetu umekuwa imara kwa miaka 50 sasa. Haijawa kazi rahisi. Tumezikabili changamoto zetu mbalimbali kwa pamoja kuifikia siku hii.
Indonesia
118
167
124
0
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Kiongozi analo jukumu la kuheshimu imani na matumaini ya wananchi waliyo nayo juu yake & kusimamia yale wanayoyatarajia na si kinyume chake.
Indonesia
62
133
142
0
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Tufanye maamuzi kwa umakini na usahihi. Tunaamua kuhusu uhai wa nchi yetu. Tujipe muda wa kufikiri na kujiridhisha juu ya maamuzi yetu.
Indonesia
56
151
94
0
Chama Cha Mapinduzi retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Hatima ya ustawi wa nchi yetu kwa miaka mingi ijayo ipo mikononi mwa wajumbe wa Bunge la Katiba. Ni jukumu lao kutupatia Katiba stahiki.
Indonesia
116
162
110
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
"Sekretarieti ya CCM, chini ya Ndugu Abdul Kinana, inafanya kazi nzuri ya kukiimarisha CCM. Ushindi 2015 ni dhahiri." - @JMakamba
Indonesia
12
23
42
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
M/kiti wa CCM Ndg Jakaya Kikwete ataungana na watanzania wengine siku ya tarehe 14 oct, 2013 kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere.
Filipino
0
1
3
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Maendeleo yaliyofikiwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yanatokana msingi bora ambao Mwl Nyerere ametujengea hapa nchini.
Indonesia
0
2
3
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Mwl Ataendelea kukumbukwa kwa mapambano yake ktk kutetea haki za wanyonge na kuondoa ubaguzi wa aina zote hapa nchini.
Indonesia
1
2
3
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi nchini kote wataungana na kuwa mstari wa mbele ktk maadhimisho hayo ya Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho.
Indonesia
0
1
3
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Ifikapo tarehe 14 Oktoba 2013, Watanzania wataadhimisha miaka 14 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere.
Indonesia
0
1
3
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye ahudhuria Sala Maalum ya kuiombea Amani Tanzania... fb.me/ZW7stnuW
Indonesia
1
1
4
0
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@CCMTanzania·
Welcome to an Official Chama Cha Mapinduzi - CCM Facebook Page.
English
2
1
4
0