mwalimu wa diploma

21.1K posts

mwalimu wa diploma banner
mwalimu wa diploma

mwalimu wa diploma

@DizoFx

porfyrio. Xrp (ripple),XAUUSD, MNYAMA MKALI MIAKA 09

Tanzania Katılım Temmuz 2019
8 Takip Edilen8.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
mwalimu wa diploma
mwalimu wa diploma@DizoFx·
Malengo yangu ni kua mwanasiasa mkubwa apa Tanzania lakini pia Africa kwa ujumla Safari yangu hii inaitaji zaidi ya billion 50 za kitanzania Mimi pekeangu siwezi kuzipata Ila nina ujuzi ambao nikipata mtaji wa dolla million moja Naweza kuipata billion 50 kwa mwaka 1
mwalimu wa diploma tweet media
Indonesia
2
1
25
6.7K
mwalimu wa diploma
Maisha ya bongo yanaendeshwa kwa T shillings mimi naingiza dola Lazima muone natapanya mali Ila kiuhalisia bata zote aziwezi kufika ata asilimia 4 ya pesa ninayo ingiza kwa siku Kwahyo acha ushauri jenga wewe na mshahaara wako wa upolisi au uwalimu na udaktari
Indonesia
0
2
22
1.1K
mwalimu wa diploma
ICT itawachelewesha sana vijana Nawaambia kiroho safi Kama unataka progress saiv achana na ict
Indonesia
4
1
29
1.6K
mwalimu wa diploma
Friday discount kwa wale wanaitaka kusoma GOLD KWANGU +255688814812 whatsup
Filipino
0
1
2
233
mwalimu wa diploma
Wakikubana saiv wakakuuliza hzi pesa zinazopita kwenye bank yako unalipia kodi wapi Utajiteteaje? Skia acha mazaoea ya kupitisha pesa za online bank Watu wenu wa syatem wana roho mbaya awashindwi kukwambia unatakatisha pesa
Indonesia
6
1
52
3K
mwalimu wa diploma retweetledi
mwalimu wa diploma
Wandani wa ndani wa njee wa njee Atutaki wenge saiv tunakula zabibu tu
mwalimu wa diploma tweet mediamwalimu wa diploma tweet media
Indonesia
0
1
13
603
mwalimu wa diploma
Ukiona naku avoid jua tu una mawazo ya kimaskini Kua maskini sio shida ila kua confotable kwenye umaskini uo ni ujinga wa hali ya juu
Indonesia
0
1
22
590
mwalimu wa diploma retweetledi
mwalimu wa diploma
Gold kafaa kifo cha mbwaa koko leo tena
Indonesia
0
1
9
609