E Digital

19K posts

E Digital banner
E Digital

E Digital

@EfmTanzania

Official Account for E Digital | Representing E-FM Radio and TV-E Tanzania| #MuzikiUnaongea | #Tunavyoishi

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2014
18 Takip Edilen50.4K Takipçiler
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
"Elimu ni msingi wa maendeleo. Kupitia ushirikiano huu, tunajenga kizazi ambacho sio tu kimehitimu, bali kiko tayari kufanya kazi kwa ufanisi."
Indonesia
0
0
0
33
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
Huu ni ushirikiano wa pande mbili unaojenga maarifa yenye tija.Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa NMB, Bw. Emmanuel Akonaay:
Indonesia
1
0
0
87
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
Benki ya NMB na Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU) wamesaini ushirikiano wa kimkakati wa miaka mitatu unaolenga kuziba pengo kati ya elimu na ajira nchini Tanzania.
E Digital tweet media
Indonesia
1
0
4
189
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
Mafanikio haya yanaendelea kuimarisha nafasi ya Benki ya NMB kama kinara wa ubunifu na mshirika wa maendeleo ya uchumi Tanzania.
Indonesia
0
0
0
21
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
kuimarisha usalama wa fedha na kuongoza katika utekelezaji wa mikakati ya fedha endelevu.
Indonesia
2
0
0
81
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
Benki ya NMB imetwaa tuzo tatu katika Tuzo za Euromoney Private Banking 2026 jijini London, ikishinda Benki Bora ya Huduma za Wateja Maalum Tanzania, Benki Salama Zaidi ya Huduma za Wateja Maalum na Benki Bora kwa Uendelevu Tanzania.
E Digital tweet media
1
1
3
314
E Digital
E Digital@EfmTanzania·
Serikali Haipendeli Watu Kupitia Mfumo - Mhe Rahma Riyadh - Naibu Waziri Ofisi Ya Rais Kazi, Mahusiano Na Ajira #JotoKaliLaAsubuhi
Indonesia
0
0
3
188