KCB Bank Tanzania

4.3K posts

KCB Bank Tanzania

KCB Bank Tanzania

@KCBBankTZ

KCB Bank Tanzania is a subsidiary of KCB Bank Group, a regional bank providing banking services to over 2 million people in East Africa.

Tanzania Katılım Temmuz 2015
7 Takip Edilen26.4K Takipçiler
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
Weekend ya mwisho wa mwezi bila makato ni kitu safi sana! Tumia KCB VISA Debit/Credit Card kulipa bills, kununua kila kitu unataka bila ada ya miamala. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
142
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
Akiba iwe priority namba 1. Hakuna makato, hakuna stress ni wewe na future yako tu. Weka hela zako kwenye Simba Savers Account upate riba ya kuuanzia 6% hadi 7%. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
134
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
ONGOZA KWA KUSUDI! CHAGUA ‘SUSTAINABILITY’ KCB Bank Tanzania, kupitia dhamira yake ya kuwawezesha vijana, ilidhamini uzinduzi wa Pesa Smart Program tarehe 19 Mei 2025 programu iliyoandaliwa na CEOrt na kwa kushirikiana na SSC Capital. Programu hii iliandaa mafunzo ya elimu ya fedha kwa vijana 25 wajasiriamali wenye umri wa miaka 18–25, ikiwapa ujuzi muhimu wa kupanga matumizi, kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kukuza biashara zao kwa mafanikio. Akizungumza kwenye tukio hilo, Bw. Amour Muro, Mkuu wa Islamic Banking, alisisitiza umuhimu wa huduma za kibenki katika kuwawezesha vijana na kuchochea maendeleo jumuishi nchini. KCB Bank inaamini elimu ya fedha ni msingi wa maisha salama na yenye mafanikio. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania tweet mediaKCB Bank Tanzania tweet mediaKCB Bank Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
1
138
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
@IbrahimLauwo Habari, Samahani kwa usumbufu ulioupata awali. Tumeshamjibu DM yako na asante kwa uvumilivu wako na kwa kuendelea kuwa nasi.
Filipino
0
0
1
11
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
@IbrahimLauwo Habari Ibrahim, Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu DM yako. Tafadhali tutumie namba yako ya simu, namba ya akaunti pamoja na jina lako kamili kupitia DM yetu kwa msaada zaidi.
Indonesia
0
0
0
7
QuaresmaTz🇰🇪🇹🇿
QuaresmaTz🇰🇪🇹🇿@IbrahimLauwo·
@KCBBankTZ Mbona hamjibu DM, mko na ujinga sanaaa, nimekuwa na shida ya Doo zangu zinatolewa bila ruhusa yangu, nikiwa Dm hata hamjibu
Indonesia
1
0
0
7
KCB Bank Tanzania
KCB Bank Tanzania@KCBBankTZ·
MATENDO KIASI. MATOKEO MAKUBWA… CHAGUA “SUSTAINABILITY” KCB Tanzania imefanya kwa mafanikio zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Makao Makuu ya Benki jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tukio hili ni sehemu ya utekelezaji wa ajenda yetu ya uwajibikaji kwa jamii na maendeleo endelevu, inayolenga kuimarisha afya za Watanzania kwa vitendo. Kupitia ushirikiano na taasisi za afya, tunachangia kuongeza upatikanaji wa damu salama kwa wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kote nchini. Tunawashukuru kwa dhati wateja wetu, wafanyakazi na wadau wote waliojitokeza kwa moyo wa huruma na uzalendo. Ushiriki wenu ni uthibitisho kuwa mabadiliko ya kweli yanaanza na sisi sote. #kcbbanktz #ForPeopleForBetter
KCB Bank Tanzania tweet mediaKCB Bank Tanzania tweet mediaKCB Bank Tanzania tweet mediaKCB Bank Tanzania tweet media
Indonesia
1
0
1
134