the real Maduka retweetledi
the real Maduka
18.9K posts

the real Maduka
@madukaFamilly
betting tips daily & betting clasesFollow this link to join my WhatsApp group: https://t.co/kTcbL8eGdR
Morogoro msamvu, Tanzania Katılım Temmuz 2024
6K Takip Edilen1.4K Takipçiler
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi

Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.


Indonesia
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi

Kama kuna mtu amesahau huu ndio ulikua msimamo wetu kuhusu tume ya Chande wakati ilipoundwa. youtube.com/shorts/Hh7jfDp…

YouTube
Indonesia
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi

Wakina Angela KIZIGA na Abdul wanaiba mabilioni ya nchi na hakuna kitu kinafanyika kwao.
Mabilioni wanayoiba wanaishia kununua magari ya mabilioni kuja kutuvimbia mtaani.
Hawa wapo huru wanaendelea kuiba mabilioni na teuzi za kuwaweka karibu na dikteta jike waibe vizuri pesa za watanzania.
Afu kuna wewe mtanzania ambae unajitafuta ulishe familia yako kwa kuuza chips leo unafungwa JELA miaka mitatu kwa kutokutoa RISITI.
Nchi inatia hasira hii kila sehemu maumivu aisee.

Indonesia
the real Maduka retweetledi

Kuna crisis kubwa sana ya Barabara Nchi hii…
Kuna ujambazi unafanyika kwenye aina ya ujenzi wanaofanya wachina! Barabara inajengwa nusu mwaka imeisha kabisa imekua kama mashimo ya ng’ombe..
Watu wanahongwa kuhujumu uchumi wa Nchi na kuhujumu wananchi.
Barabara ya Tarime - makutano imejengwa miaka ya 90’s bado ina uafadhali kuliko barabara ya Singida to Babati au Dodoma - Iringa za juzi tu..
Ukitoka Mwanza mpaka Bunda unaweza kulia, alafu eti kuna Waziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa , Tanroads sijui na nani!!!
Utawala dhalimu umefitinika.

Indonesia
the real Maduka retweetledi

#FreeTunduLissu
Hakuna namna mtamkwepa Lissu! He is now bigger than life! Na uzuri yuko imara pamoja na mateso yote na dunia imesimama kumdai! Mtamwachia TU!
Mungu fundi sana maana mnachofanya ni kujimaliza kadri mnavyomshikilia
Mtaelewa mmechelewa sana!
#TutaelewanaTu

Indonesia
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi
the real Maduka retweetledi


























