watakuja na wataenda

12.4K posts

watakuja na wataenda banner
watakuja na wataenda

watakuja na wataenda

@omary___

#napendaHiphop&EDM

Mbeya, Tanzania Katılım Şubat 2021
1.4K Takip Edilen703 Takipçiler
PABLO
PABLO@PabloYende·
Hii Tukusa ya Jay Moe inahitaji makala mbili tatu kuielezea kama ni kali kifupi ni hakuna Kitu Mkongwe kafanya 🤠
Indonesia
12
7
95
4.1K
I AM
I AM@francismtey·
ukisoma Bible na ukaelewa utaona nilichoandika kina make Sense 1. Kulikuwa na Vita mbinguni. Mungu na Malaika (Shetani) - Msaliti Swali ni je, Hivi Mungu anawezaje kupigana na Malaika wake kama sio alikuwa mwenzake? 2. Kwanini Shetani alikuwa anaenda Mbinguni kushauriana na Mungu kuhusu Yakobo. Kama Sio Mwenzake...? 3. Kwanini Mungu alishindwa kumuuwa Shetani ila kwa kosa lile lile la usaliti Sisi tukaambiwa Tutakufa ila Shetani Ataishi milele? huyu Sio mwenzake? 4. Shetani na Mungu huwa wanapiga Story. Ayubu 1:6-12 - Wanapiga story Fresh kabisa. 5. Mwanzo 1:26 (SRUV) Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, ina maana Walikuwa Miungu wengi ikiwemo na huyu Ambaye anaitwa SHETANI SIO? au...
MWANAHISABATI@ArthurGeil

@francismtey Alafu Mungu nae akawa Nani? So unataka kusema kwamba Shetani ndio alikua Mungu alafu huyu Akamsaliti Shetani mmmhh..😂😂

Filipino
35
8
42
4.8K
watakuja na wataenda
@Thepoli12847540 @GGalawika @francismtey Kiumbe kisicho na damu na nyama haiwezi kuwa tafsiri sahihi, kuwa kiumbe ni sifa ya kiumbe hai chenye mwili, Yani hakuna kiumbe bila mwili, ili iitwe uumbaji lazima Hilo umbo lililoumbwa liwepo. Bro akili Ina umbo Gani?
Indonesia
1
0
0
35
Tristan
Tristan@Thepoli12847540·
@omary___ @GGalawika @francismtey roho ni kiumbe kisichokuwa na damu na nyama kikaacho katika ulimwengu wa roho tofauti na ulimwengu tunaouona kwa macho
Filipino
2
0
0
12
watakuja na wataenda
@Thepoli12847540 @francismtey Sijui mana siwez kujadili Hali ya kufirika, unaielezeaje? Ni sawa nikwambie Kuna pembetatu yenye duara. Naielezeaje? Kama wewe unafaham tafsiri ya kitu Cha kufikirika niambie
Indonesia
0
0
0
36
watakuja na wataenda
watakuja na wataenda@omary___·
@hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Wait, kwa theory Yako hiyo hasa frame 2 inamaanisha Kuna eneo(point )kwenye hii dunia jua Huwa halizami KABISA mda wote linawaka tu. Aisee elimika bro. Tromso, Norway jua halizami mwezi mzima, na likizama ni Giza mwezi mzima. Hebu Lete maelezo mzee, theory Yako ina-apply vp hapo
Filipino
2
0
0
16
pray
pray@frajo_·
NASA wameona Ile indoctrination Yao kwamba Dunia ni duara watu wameanza kuisahau na kuanza kuamini Dunia ni flat. Wameona wakapigilie msumari.😂😂
pray tweet media
Indonesia
18
5
109
8.3K
Hilary Mbowe
Hilary Mbowe@hilarymbowe_·
@EduTalkTz Ujanja mwingi ambao shetani mdanganyi aliutumia ni sayansi kupitia mawakala wake wanao itwa wasomi . Kupitia humo kuna majinga mengi yanachukuliwa bila kuwa na reasoning ya nature .Nature ni uhalisia.mamtu yanaambiwa eti jua ni kubwa kuliko vitu vyote ,eti mwezi unaakisi
Filipino
4
0
1
285
Hilary Mbowe
Hilary Mbowe@hilarymbowe_·
@octaa01 @frajo_ Unaelewa maana ya neno flat ama nini? Flat maana yake ni coin ya mia 5 yenye mduara ukiikaza pale top ndipo flat ila shape ni duara
Indonesia
4
0
1
304
pray
pray@frajo_·
@BarakaMaviatu Michoro ya ancient civilizations zote zinaonyesha Dunia ni flat with a dome like shape glass (firmament). Kasoro ya NASA tu. Mind you NASA ni neno la kilatin lenye maana DECEIVING.
Filipino
5
0
4
849
watakuja na wataenda
watakuja na wataenda@omary___·
@njiwapori_ Unaambiwa kama ni kufake moon mission, basi kufake ni gharama kubwa sana kuliko kwenda mwezini
हिन्दी
0
0
0
10
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Hivi mfano labda tufanye kwamba hao wataalamu wa anga waliopo marekani kama ni kweli wanatudanganya, wanatudanganya kwa manufaa gani yaani ili wapate nini??
Njiwapori 10k tweet mediaNjiwapori 10k tweet media
Indonesia
55
24
214
20.6K
M O X
M O X@UrBoyMox·
@njiwapori_ Ili ubaki kwenye mifumo yao usiweze kufikiria zaidi ya hapo
Indonesia
5
0
11
1.3K
Mangi
Mangi@LymosimonZ·
@njiwapori_ ushawah kujiuliza kwann ni marekan pekee ndio wana hizi mbanga za kwenda nje ya dunia? kwann wao na sio nchi zingine kubwa na zenye nguvu hazina hizi mbanga?
Indonesia
8
0
3
1.5K
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Kuelekea Kiama hakika hali itazidi kuwa mbaya juu ya Fitna ya Wanawake Waislamu tuamke tuwe Waislamu kweli Hebu fikiria uwiano wa mwanaume 1 kwa wanawake 40 / 50 hali itakuwaje!!!!!! Tunamuomba Allāh Afya na Salama.
RASHIDI ADINANI tweet media
Indonesia
2
1
9
299