
SIR TIVA
216.5K posts

SIR TIVA
@Sativa255
Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.





Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika. Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu! Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right. Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ




















