seagask
572 posts

seagask
@SeagasK
The Official twitter page for SEA Gas Kenya. #BoreshaUpishi
Mombasa, Kenya Katılım Eylül 2019
16 Takip Edilen155 Takipçiler

Je, wajua ni kawaida kugawana sahani za futari na majirani?
Ni wakati wa upendo, kujali na kushirikiana, hasa tunapokutana mezani kuvunja saumu.
Chagua SEAGAS kwa upishi wa kila siku ulio salama na wa kuaminika. Tuma DM au wasiliana nasi leo kwa nambari yetu ya bure 0800 723 666 kupata yako.

Indonesia

Ramadhani inaendelea, na tunahesabu siku za mwisho za mwezi mtukufu 🤲✨
Hii ni ratiba ya mfungo ya Mombasa kuanzia tarehe 13 Machi mpaka tarehe 19 Machi. Angalia muda wa daku na futari ili ujipange vyema katika siku hizi za mwisho za Ramadhani.
Tumuombe Mwenyezi Mungu atujaalie afya, subira na baraka tunapokaribia kumaliza mwezi huu mtukufu.
Ramadhan Kareem kutoka SEAGAS!

Indonesia

Happy International Women’s Day! Today we celebrate the strength, resilience, and achievements of women everywhere.
Tag a woman who inspires you and celebrate her today.
#InternationalWomensDay #IWD2026
English

Je wajua ukifunika sufuria, chakula kinaiva haraka na unatumia gas kidogo sana?
Ramadan hii, okoa gas na upike kwa busara zaidi. Kufunika sufuria husaidia kuhifadhi joto, kupunguza matumizi ya gas, na kufanya chakula chako kiive haraka, saving time na pesa wakati wa kuandaa iftar. ✨
Tupigie kwa nambari yetu ya bure 0800 720 720 kuagiza yako leo.
#Ramadan2026 #Ramadhan

Indonesia












