Joseph Mbilinyi

1K posts

Joseph Mbilinyi banner
Joseph Mbilinyi

Joseph Mbilinyi

@TheRealJongwe

Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.

Katılım Temmuz 2018
167 Takip Edilen438.5K Takipçiler
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾 #LiMwenyekiti #KatibaMpya #FREELISSU
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
153
709
4.3K
101.6K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾 #LiMwenyekiti #NyasaMpya #FREELISSU
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
57
362
2K
20K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
“ Sikiliza Albart , hili ni tukio la kumpa heshima Prof Jay na ni starehe kwa watu wote , nikiingiza siasa hapa , nyie CCM mpo na CHADEMA wapo, itabidi na Mnyika au Heche aje kuongea hapa , kitakachotokea hapa, kesho utafukuzwa kazi, halafu uanze kulilia. Matako yako”
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
63
246
2.4K
63.1K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
271
497
4.1K
83.3K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
282
1.9K
28.6K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Huu ndio umekuwa msimamo wetu KABLA na BAADA ya ripoti ya kubumba ya Bwana Chande… #Statesman
Filipino
8
117
825
10.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii ni Nkasi jana kikao cha ndani, tena Kirando huko! Najivunia sana kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, pia najivunia tuna mtu imara kabisa my sister Mh. Aidah mkoa wa Rukwa! #StrongerTogether
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
30
274
1.9K
21.8K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Jana nilifurahi sana kuonana na Mzee wangu Richard Mabara, huyu Mzee ni Mzalendo sana. #Statesman
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
53
206
2.4K
34.6K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Jana Taifa limebaki na KIDONDA, tena chenye USAHA mwingi…
Indonesia
56
310
1.9K
23.5K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Nigga hajui kwanini Maisha yake yamekuwa magumu mtaani?! Mwambieni ni kwa sababu alipokuwa Waziri alikuwa MDWANZI kama hivi…MATAKO YAKE!
Filipino
125
275
1.7K
79.1K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Mambo yashakuwa magumu na yataendelea kuwa magumu… Sisi hatutaacha kuwashauri kwa maslahi ya nchi (japo hatuwakubali)! #STATESMAN
Filipino
15
103
767
16.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Ona huyu, nchi inahitaji maridhiano serious, yeye analeta maigizo kwa kukusanya VIBAKA ili kumuonyesha Samia kwamba anaenda vizuri… NB: Shida ni Mbeya mjini haimjui kama ambavyo yeye haijui Mbeya mjini, MATAKO YAKE!😎
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
38
76
601
25.7K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yaani hii haiishi mpaka IISHE…
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
70
260
1.7K
40.3K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Sasa hiyo tume ya nini?! Na ndio maana watu wanaikataa, wanaiona ni ya MCHONGO.
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
43
143
811
27.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii BODI ni tool nyingine ya Udikteta. Kukandamiza uhuru wa habari na hata uhuru wa kutoa mawazo…Ndio maana tulipinga sana kuanzishwa kwake wakati ule tukiwa Bungeni. Hii sasa ni kama BASATA na wasanii!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
19
95
439
13.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Na huu ndio msimamo wetu pia sisi Chadema kanda ya Nyasa…Hakuna kurudi nyuma. #FREELISSU
Indonesia
13
151
840
16.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
GIRISHONI always anaiambia DUNIA kuwa Serikali ya Tanzania imepiga marufuku mtandao wa X (Zamani Twitter)… Hapa ⁦@ikulumawasliano⁩ wametumia X kutoa taarifa yao, nabaki najiuliza je IKULU inavunja AMRI ya SERIKALI au??!! NB: Hata yeye GIRISHONI daily yuko X, MATAKO YAKE😎
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
86
183
1.2K
46.3K