27Nakaboy+

3.8K posts

27Nakaboy+ banner
27Nakaboy+

27Nakaboy+

@Undercover_Dr

Dr by professional Father of one child (Rhoda)

Gairo Katılım Mart 2017
362 Takip Edilen233 Takipçiler
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Katibu wa @Chademakaskazin Ndonde Totinan amejiuzulu wadhifa wake na kujivua uanachama wa chadema. Jana katibu wa mkoa wa Tanga leo katibu wa kanda. Je bado tupo imara??. Tusijidanganye kunashida inaongozwa na @HecheJohn ipo siku mtakuja kunielewa ndugu watukanaji.
Lembrus Mchome tweet media
Indonesia
111
7
31
9.3K
27Nakaboy+ retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027. Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu. This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu…. Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia. Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki………….. Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
139
547
2.8K
90.2K
27Nakaboy+ retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Huwezi kuzima moto wa gesi kwa maji Wanangu endeleeni kuwaibisha mafala wa UVCMM wanao report account zetu Mwaga motoo Repost 560
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Indonesia
3
22
183
3.2K
27Nakaboy+ retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Sio kweli. Balozi hawezi kusahaulika Tuonyesheni kwamba Polepole hajasahaulika kwa coment za Free Polepole za kutosha Repost 560
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Polski
83
528
1.7K
33.1K
27Nakaboy+ retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
KILA MTU ABONYEZE REPOST TAARIFA IFIKE MBALI.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
18
1.1K
2K
26.6K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa risasi kwa kijana Omary Hamis Ramadhani (29), mkazi wa Ngo’ng’ona, ambaye alipoteza maisha usiku wa Desemba 27, 2025 baada ya kupigwa risasi na askari waliokuwa doria katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma, Kata ya Iyumbu. Kwa mujibu wa taarifa ya awali, askari hao walikutana na pikipiki iliyokuwa imebeba watu watatu na walipoitilia shaka, waliamuru isimame kwa ajili ya ukaguzi. Hata hivyo, pikipiki hiyo haikusimama, hali iliyowafanya askari kufyatua risasi kwa lengo la kuzuia tukio la uhalifu. Katika risasi hizo, Omary alijeruhiwa vibaya na kufariki dunia akiwa njiani kupelekwa hospitali. Jeshi la Polisi limesema linafanya uchunguzi wa kina kubaini undani wa tukio hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha askari endapo watabainika kwenda kinyume cha taratibu. Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa familia yake kwa taratibu za mazishi. Polisi wametoa wito kwa wananchi kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa ushirikiano badala ya kukwepa ukaguzi, ili kuepusha matukio kama haya.
Filipino
60
8
53
6.6K
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, akosoa kanisa kujihusisha na matamko ya kisiasa.
Indonesia
83
9
76
7.7K
27Nakaboy+
27Nakaboy+@Undercover_Dr·
@Sativa255 CLU3M0JE34L Confirmed. Tsh1,000.00 sent to 255797527876 - ALUTE SIMON MUGHWAI on 30/12/25 at 8:29 PM Total fee Tsh30.00 (M-Pesa fee Tsh30.00 + Government levy Tsh0.00). New balance is Tsh370.39. Kaka tayari ...
Filipino
0
0
9
3.9K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
MOTO UNAWAKA MAMAEE🤣🤣🤣 GEN Z KWA MASAA 10 TUMECHANGA MILIONI 5 KWA BABA YETU TUNDU LISSU. TUMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU BABA YETU. MASAA HAYA 48 NI YA GEN Z NA LISSU. KWAHIYO KAMA HUJASHIRIKI ZOEZI HILI UNACHELEWA MAELEKEZO YAPO KWENYE BANGO HAPO. WANANGU MWAGA MOTO WA KUTOSHA HAPO MAMAEE🔥🔥🔥 REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎
SATIVA tweet media
SATIVA@Sativa255

Nikisema GEN Z TUPO NJE YA MUDA TUNAFUNGA MWAKA NA LISSU MUELEWE. Masaa kadhaa sasa 2M imepatikana, hii ngoma inaenda kwa masaa 48, kama una roho ya WIVU NA CHUKI NIUNFOLLOW maana yatakuwa masaa 48 ya moto sana kwako. Wanangu NAMBA ZA KUWEKA MIAMALA zipo hapo kwenye bango kwasasa tupo nje ya MUDA MWAGA MOTO HAPO KAMA MADRAGON🔥🔥🔥 REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎

Indonesia
15
106
494
33.4K
27Nakaboy+ retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Makamu Mwenyekiti . Repost 890
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Indonesia
3
185
752
11.4K
27Nakaboy+ retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SAMIA MUST GO!!
English
30
223
1.3K
20K
27Nakaboy+ retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mwigulu anasema Jenista alikuwa ana afya njema. Lakini Mchengerwa anasema Jenista alikuwa mgonjwa na hali yake ilikuwa mbaya sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
104
229
1.4K
60.6K
27Nakaboy+ retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Huyu ni NANI? MSANII au mcheza PONO? Mnaomjua msaada kabla sijaanza mashambulizi yangu. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
65
67
689
31.3K
27Nakaboy+ retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Babeli ilipotaka kuanguka, Mungu alichafua usemi wao. Aliyeombwa jembe alileta koleo. Nani mkweli?.
John Pambalu tweet mediaJohn Pambalu tweet media
Indonesia
13
96
488
12.3K
27Nakaboy+ retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
WAZIRI HARAMU WA AFYA Anatuambia MAREHEMU hali yake ilikuwa MBAYA SANA. WAZIRI MKUU MKUU HARAMU anatuambia MAREHEMU hakuonyesha kama ana changamoto KIAFYA. Hapa WOTE wanaujua ukweli ila kuna MMOJA kasahu Script ya SINEMA ZETU. 😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
29
122
758
33.8K
27Nakaboy+ retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nani anasena ukweli ? Kwani kuna nini ?
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Filipino
141
275
1.6K
53.3K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Haya matimu ya Kariakoo Yajiandae.
Indonesia
67
115
1K
22.4K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nafikiri Walimwengu wanaweza kusema, kwanini huyu baba asingemwacha Daktari wake na Jenista au member wa familia aongee ? au huu ni utaratibu mpya ?
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
58
138
1.4K
56.4K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Warioba Butiku amesema kuwa pamoja na vijana kuwa na hoja nyingi na za msingi, si sahihi kuzifikisha kupitia maandamano na vurugu zinazosababisha uvunjifu wa amani bali kwa kufuata utaratibu unaoheshimu misingi ya kikatiba na maridhiano. Akizungumza na wanahabari kando ya kongamano la wazee na viongozi wa dini lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dodoma tarehe 2 Desemba, 2025 likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea tarehe 9 Desemba 2025, Mzee Butiku amesema Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani kutokana na misingi ya usawa, heshima, haki na kutobaguana hivyo vijana wanapaswa kutumia njia rasmi kwa kuwasilisha changamoto zao. Butiku ameongeza kuwa wazee hawapingi hoja za vijana kwani wanazitambua ambapo amezitaka pande zote kuendelea kuwasiliana kwa maridhiano, akisisitiza kuwa wazee bado wana uwezo wa kutambua changamoto za taifa na kukubaliana hata wanapokuwa na tofauti kubwa, ili kuhakikisha amani na umoja vinaendelea kudumishwa nchini.
Indonesia
93
13
80
18.6K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
@ManLikeFrey Maelezo hamtaki? Halafu nyie wasenge ndio mnazua agenda me sikuwa hata uko...ngoja niifute na hii me sitaki kukwaza watu
Indonesia
80
7
162
58.4K
إبراهيم
إبراهيم@ManLikeFrey·
Futa na hii basi mtaalam…
Filipino
3
4
43
24.6K