Eng. B

148 posts

Eng. B

Eng. B

@Btech1209

Off mode activated

Entrou em Ocak 2026
653 Seguindo80 Seguidores
𝑱𝑺
𝑱𝑺@JsMtuPoa·
Good morning..🤲 Mpambanaji.. Tunashukuru Mungu tumeamka tena.
𝑱𝑺 tweet media
Indonesia
10
7
21
210
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
mwamba kabla kesi haijaisha taravis kitengo kamtia dole mtelelezi.😂😂💔
kibaha_finest tweet media
HT
9
13
112
11.2K
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Siku nyingine tena ya Kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama Good morning Fam 👋
Indonesia
28
28
52
570
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Inatakiwa ule nini Usiku ili asubuhi usiamke na njaa kali? 🥴😁
Indonesia
14
12
74
2.6K
Sabrina winga
Sabrina winga@SharifaSabrina·
Mtu namuuliza nani anakasilika 😂 😆 😂 kwani simu yako ?
Filipino
2
4
15
518
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
Sometimes sio mikosi wala nini ni vile hujui ku control mdomo wako .
Indonesia
5
19
72
1.2K
Sabrina winga
Sabrina winga@SharifaSabrina·
Aries ♈️ huu mwaka wa kutafuta pesa sasa wewe jifanye penda benda 😂 kitakuramba
Indonesia
1
0
1
87
Niffer💕
Niffer💕@NifferSancho_·
Twitter malaptop , Kati ya HP na DELL ipi ni bora zaidi?
Indonesia
9
5
44
3.5K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Mtanzania wa Kwanza kukutana na Pedri live Kutoka Barcelona, Jamaa ameenda kufanya Tour Barcelona baada ya Kushinda Odds 93..!! Tuacheni utani Wakuu betting inalipa na Kutimiza ndoto za Watu vibaya mnoo🙌
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
32
25
918
28K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Kuna movie nilicheck Jana kabla sijalala inahusiana na mambo ya madini ya dhahabu , si nikaota usiku eti nimeshika kipande cha dhahabu nimekificha na sijashikwa 😂😂🫵nimeumia sana , juzi Tu niliota nime cash out mkeka 700k nimeamka hamna kitu ... Dah
Eesti
10
4
62
2.6K