bugando medical centre

625 posts

bugando medical centre banner
bugando medical centre

bugando medical centre

@BugandoC

all about BMC

Mwanza Entrou em Mayıs 2019
28 Seguindo2.2K Seguidores
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
Tuna mashine, vifaa tiba na madaktari bingwa wa kuchunguza na kutibu saratani ya mapafu.
bugando medical centre tweet media
Filipino
0
0
2
111
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
MAFUNZO YA MFUMO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI YAHITIMISHWA RASMI BUGANDO Hii leo Septemba 18 Septemba, 2025 Hospitali ya Bugando imehitimisha mafunzo kutoka kwa wataalamu wabobezi wa tathmini na ufuatiliaji kutoka wizara ya Afya.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
0
1
161
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
Mafunzo ya mfumo wa ufuatiliaji na tathimini kwa watumishi yamehitimishwa rasmi hii leo Septemba 16, 2025 huku yakiwa yamenufaisha Menejimenti pamoja na watumishi wa kada mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
0
4
160
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO YATOLEWA KWA WATUMISHI WA TIBA NA MAFUNZO. Idara ya Afya ya akili leo Septemba 2,2025 kupitia kitengo cha saikolojia kimeendesha mafunzo kwa watumishi wa Tiba na matunzo (CTC ) juu ya kukabiliana na msongo wa mawazo kwa wagonjwa.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Filipino
0
0
11
296
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando inaendesha mafunzo ya tiba shufaa (palliative care) kwa wafanyakazi wa Idara ya saratani katika kuhakikisha inaboresha maisha ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya muda mrefu ikiwemo ugonjwa wa saratani.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
2
15
341
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
HOSPITALI YA BUGANDO YAPOKEA WATAALAM KUTOKA VENDERBELT UNIVERSITY KWA AAJILI KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MFUMO WA FAHAMU.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
2
22
486
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
BUGANDO YAENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA. Washiriki na wawakilishi wa Miss Universe Tanzania 2025 kutoka Kanda ya Ziwa wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Leo julai 25, 2025 lengo likiwa kuchangia damu.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
0
7
729
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
Fr. Paulo Chobo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Leonard Nkwande Kwa niaba ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), amemtambulisha rasmi Sr. Dkt.Alicia Massenga kwa watumishi na uongozi wa Bmc.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
0
4
162
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
kiwa ni Jubilee ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei Epifania Bugando Leo Julai 20, 2025 wametembea Wagonjwa wa fistula katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando lengo likiwa ni kutoa matendo ya huruma kwa wagonjwa.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Indonesia
0
2
9
375
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
MADAKTARI NA WAUGUZI WAPATA MAFUNZO YA HUDUMA ZA DHARURA BUGANDO.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
Filipino
1
1
20
477
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
DESK AND CHAIR FOUNDATION WATOA VITI MWENDO VYA KUBEBEA WAGONJWA 12 KWA WAGONJWA WA SARATANI BUGANDO.
bugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet mediabugando medical centre tweet media
HT
0
1
9
404
bugando medical centre
bugando medical centre@BugandoC·
Wizara ya Afya nchini ikishirikiana na shirika la CDC Tanzania pamoja na wadau wa maendeleo MDH Leo July 11, 2025 wametembelea Idara ya maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando .
bugando medical centre tweet media
Indonesia
1
0
12
380