MatuiMaria

2 posts

MatuiMaria

MatuiMaria

@MatuiMaria

Entrou em Nisan 2024
2 Seguindo7 Seguidores
MatuiMaria retweetou
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 Duniani ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WiLDAF watafanya Mjadala kuhusu Adhabu ya Viboko na Athari zake kwa Watoto kupitia XSpaces ya JamiiForums, leo, Aprili 30, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi saa 2:00 Usiku Shiriki Mjadala jamii.app/SaveTheChildren #JamiiForums #JFXSpaces #ChildRights #JFHakiMtoto #SocialJustice #EndCorporalPunishment #ChildrensRights
Jamii Forums tweet media
Indonesia
3
4
46
7.2K