Tweet fixado
One Sister
156.4K posts

One Sister retweetou

Katika hatua kubwa ya kuimarisha uchumi wa ndani, asilimia 64% ya zabuni za Serikali kwa mwaka 2024/2025 ziligawiwa kwa wazabuni wazawa.
Huu ni ushahidi wa dhamira ya dhati ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha maendeleo ya sekta binafsi, kukuza ajira, na kuimarisha uchumi wa taifa letu.
Umoja na juhudi za pamoja ni msingi wa mafanikio ya Taifa letu.
Indonesia
One Sister retweetou



