ALLIIGATOR TEARS

10.8K posts

ALLIIGATOR TEARS banner
ALLIIGATOR TEARS

ALLIIGATOR TEARS

@SunKey1367

Identity is a joke

Dar es Salaam, Tanzania Entrou em Eylül 2017
521 Seguindo360 Seguidores
Tweet fixado
ALLIIGATOR TEARS
ALLIIGATOR TEARS@SunKey1367·
Is God’s time !!!! I manifest everything 📍
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
0
0
6
6.5K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Naona wameamua kugeuza msiba kuwa wa VICHAMBO kwetu watu wa MITANDAONI. Ujumbe unafika tuendelee kushikilia bomba hawa Wshenzi.
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
16
64
564
18.3K
FUNDI JUMA 🇿🇦
Tyla has actually got some vocals, I thought it was all some banging beats
English
2
4
12
466
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema marehemu William Lukuvi alipenda kufanya kazi na kujitolea kwa ajili ya nchi.
Indonesia
22
5
65
7.2K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Target ni SAMIA akikata moto huyo aisee nchi itasimama hii kwa sherehe. Sema sio mbaya hizi OFF TARGET soon tutapata ON TARGET. Tuendeleee kupiga dua wanangu.
SATIVA tweet media
Indonesia
23
70
652
16.7K
Simons
Simons@Simon_Ingari·
Got my salary. Paid the bills. Send money to my parents. Get my favorite food as a reward. Broke again. Waiting for next paycheck
English
353
4.4K
22K
375.7K
RAYE Updates
RAYE Updates@RayeUpdate·
Raye performing “WHERE IS MY HUSBAND!” at the iHeart Radio Awards!
English
15
934
9K
147.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, mke wake, mtoto pamoja na dereva wao, wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika daraja la Mto Mang’onyi, wilayani Ikungi mkoani Singida.
Indonesia
31
26
217
16.4K
ً
ً@americanreqiuem·
THIS MUSIC MAY CONTAIN HOPE. DIY — 100/100 NME — 100/100 The Arts Desk — 100/100 Rolling Stone UK — 100/100 The Independent — 100/100 Far Out Magazine — 100/100
ً tweet media
English
3
132
1.3K
24.2K
Spotify Africa
Spotify Africa@SpotifyAfrica·
Current song on repeat?
English
1.4K
281
3.3K
450.6K
RAYE
RAYE@raye·
My 2nd album THIS MUSIC MAY CONTAIN HOPE is out at midnight. I hope you will like it. I’m nervous. Lots of love. 🌦️😭❤️‍🩹
English
954
5.7K
45.8K
823.8K
Rolling Stone
Rolling Stone@RollingStone·
The Rolling Stone Review — @raye's 'This Music May Contain Hope' "It’s one long pageant starring Raye as not just the main character, but the only character, piling on the Old Hollywood strings and juicy narrative detail." ⭐️⭐️⭐️⭐️ + 1/2
Rolling Stone tweet media
English
45
281
2.7K
104.8K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
George Sanga, msaliti wa Watanzania, amezua mjadala mpana katika jamii kufuatia hatua yake ya kubadili msimamo na kuacha njia ya mapambano ya haki na demokrasia. Kitendo chake kinatazamwa na wengi kama usaliti mkubwa dhidi ya jitihada za pamoja zilizojengwa kwa muda mrefu kwa gharama na mchango wa wananchi waliomuamini na kumsimamia katika nyakati ngumu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za matukio yaliyoshuhudiwa na umma, George Sanga aliwahi kukumbwa na kesi nzito ya mauaji iliyokuwa na adhabu kali. Katika kipindi hicho kigumu, Watanzania waliinuka kwa pamoja na kumuunga mkono kwa hali na mali, wakimchangia fedha za chakula akiwa gerezani, kusaidia familia yake kwa mahitaji ya kila siku, pamoja na kugharamia ada ya elimu ya mtoto wake. Baada ya kutoka gerezani, wananchi hao hao walimchangia mtaji ili aweze kurejea katika maisha ya kawaida. Vilevile, viongozi na wanachama wa CHADEMA walionyesha mshikamano mkubwa kwa kufunga safari kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania kwenda kumtembelea na kumtia moyo alipokuwa kifungoni. Hatua hizi zilidhihirisha wazi imani na matumaini makubwa yaliyowekwa juu yake kama sehemu ya harakati za kuleta mabadiliko ya kweli nchini. Hata hivyo, katika hali inayozua masikitiko makubwa, George Sanga ameondoka katika chama hicho na kujiunga na CHAUMA, huku akianza kutoa kauli za kejeli na dharau kwa wapigania haki na demokrasia. Aidha, hatua yake ya kuonekana kuwatetea wale waliowahi kumuweka gerezani imeibua hisia kali za kusalitiwa miongoni mwa wananchi waliowahi kusimama naye. Mabadiliko haya ya ghafla ya msimamo yanaibua maswali makubwa kuhusu uaminifu, uadilifu na dhamira ya kweli ya viongozi ndani ya harakati za kijamii na kisiasa. Jamii inatarajia uwajibikaji na msimamo thabiti kutoka kwa wale wanaopewa dhamana ya kuongoza na kuwakilisha sauti za wananchi. Wito unatolewa kwa wadau wote wa haki na demokrasia kuendelea kuwa imara, kushikamana na kutetea misingi ya haki na ukweli bila kuyumbishwa na matukio ya mtu mmoja. Mapambano ya haki na demokrasia hayawezi kusimamishwa na mabadiliko ya msimamo ya mtu binafsi, bali yataendelea kwa nguvu ya umma.
MO 29 TV tweet media
Indonesia
21
39
286
19.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake. Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge. Marehemu William Lukuvi, aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani tangu mwaka 1995, amefariki dunia leo Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kutokana na mshtuko wa moyo.
Filipino
15
6
128
12.2K
Beauty In Blacks
Beauty In Blacks@BeautyInBlacks·
Is it possible to be mad at your son for being gay when you’re gay as well?
English
58
10
440
39.6K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema wameanza mazungumzo na UNESCO pamoja na uongozi wa Meta kuitambua rasmi lugha ya Kiswahili kwenye majukwaa yote duniani ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili waweze kulipwa vizuri.
Indonesia
71
9
133
40.5K
RAYE
RAYE@raye·
Click Clack Symphony. ft. Hans Zimmer is now yours. 🎻👠 7 days until ALBUM 2 🥹🌨️🫀
English
223
2.8K
15.3K
1.2M
🤠
🤠@heavensbvnny·
Does anyone else have a couch blanket? Like a blanket that stays on your couch that you use when relaxing or is it just me?
English
1.2K
507
14.9K
1.1M