Erick Wizz
967 posts


Erick Wizz retweetou

HABARI PICHA:
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini.
Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha Madaktari na wauguzi Bingwa bobezi Machi 28, 2026 kwenye Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.

Indonesia

Kwahiyo unatafuta mume au? Kama unataka mume millenial tukupe chura
NOED.@Noedson_tz
Mwakani nafikisha miaka 46. Nilizaliwa 1998.
Filipino
Erick Wizz retweetou
Erick Wizz retweetou
Erick Wizz retweetou

Kwahiyo hakuna Accountability Tena? Mie nianze kumcheka mtu ambaye yupo Kila siku kwenye TOYOTA LAND CRUISER VXR V8, wakati Mimi napigwa na jua siku nzima? Lol 😆🤣
Swahili Times@swahilitimes
Rais Samia Suluhu Hassan amemwelekeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba kuyataja mashirika na taasisi zinazofanya vibaya zaidi katika ripoti ijayo ili zione aibu.
Filipino

Nimepokea kwa masikitiki report ya CAG iliyojaa matumizi mabaya ya Mali za umma nizitake mamlaka husika kuwachukulia hatua za haraka wahusika #MwinsheheNaCag
Indonesia
Erick Wizz retweetou
Erick Wizz retweetou

@Eric__Bernard Mathayo 22:18
[18]Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?
Indonesia

SERIKALI IMEIMARISHA UWAZI NA UWAJIBIKAJI KATIKA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi kuhusu rasilimali zao.
Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Machi 30, 2026 wakati wa kupokea Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2024/2025, Rais Samia amesema umma una haki ya kufahamu matumizi ya fedha za serikali kwa kuwa zinatokana na kodi zao.
“Uwajibikaji si chaguo bali ni wajibu kwa kila kiongozi na mwananchi. Tunapaswa kuhakikisha rasilimali za taifa zinasimamiwa kwa uadilifu,” alisema Rais Samia.
Amebainisha kuwa ongezeko la hati safi katika ripoti ya mwaka 2024/2025 ni ishara ya maboresho katika usimamizi wa fedha za umma ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Rais Samia pia amesisitiza kuwa serikali itachukua hatua kwa kuzingatia sheria na maelekezo ya CAG ili kurekebisha mapungufu yote yaliyobainika katika ripoti hiyo.
Aidha, ameelekeza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha pamoja na Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhakikisha mifumo ya kielektroniki inaunganishwa ili kuongeza uwazi na kupunguza mianya ya ubadhirifu.
Hatua hiyo inatarajiwa kuimarisha zaidi uwajibikaji na kuongeza imani ya wananchi kwa serikali katika usimamizi wa rasilimali za taifa.




Indonesia
Erick Wizz retweetou
Erick Wizz retweetou















