Baada ya kuchakazwa na kutoleshwa mimba na wahuni kibao sasa atatafuta kijana mmoja mstaarabu mwenye hofu ya Mungu ili atulie naye kwenye ndoa. Usiwe huyo kijana
Ile ripoti ya CAG kama mpaka sukari ikapanda ghafla niliposkia ishu ya uwanja mara wakala wa umeme temesa uwiii acha nifanye dhambi tu na huyu mhuni mwenzangu nitoe mawazo 😂
Umetoka mishe mishe umepigwa jua kinoma siku nzima alafu ukutane na ugali dagaa mchele wakukaanga mixer kachumbari nyingi na Pepsi baridi+ maji ya baridi🔥🔥