Emmanuel pius

14 posts

Emmanuel pius

Emmanuel pius

@EmPius

Присоединился Mart 2020
831 Подписки37 Подписчики
Emmanuel pius
Emmanuel pius@EmPius·
@akilnyingi @AdoniasMusa Sawa Mkuu mtu wa kutumia akili, sijasema mwaliku wa biology nimesema life science kama huelewi maana yake tumia akili zako Vizuri. Ukipata muda tembea tembea upunguze ujuaji Anyway Asante mkuu.
Indonesia
1
0
0
11
akili
akili@akilnyingi·
@EmPius @AdoniasMusa Yaani kwenye clinical personnel umeshe mu exclude afununataka awe hospital. Yaani unacho taka kusema wewe ni kama umchukue mwalimu wa biology umpeleke akatibu watu madawa kisa ni typical scientist nnamalizia tumia akili usitumie hisia
Indonesia
1
0
0
8
akili
akili@akilnyingi·
Bongo land miyeyusho sana nina wanangu wamepiga SUA human nutrition na food science lakini ajira zimetoka ety wameajiriwa hospital tena national level nimeshangaa sana inawezekanaje? na wameenda huko kutibu au kushangaa vifaa vya hospital. Wenyewe ukiwauliza hawaelewi wafanye ni
Indonesia
45
9
295
24.8K
Emmanuel pius
Emmanuel pius@EmPius·
@akilnyingi @AdoniasMusa Endelea kutukana Mkuu, ila nakushauri hayo mambo ndo mkiyaendekeza tunakosa wanasayansi na watafiti tunabaki kuwa na watoa maelekezo. Hospital Kuna MD, Medical Lab, Nurse wote ni clinical personnel, human nutrition ni life science typical scientist kipi kinashindikana.
Filipino
1
0
0
13
akili
akili@akilnyingi·
@EmPius @AdoniasMusa Usitumie hisia kwenye uhalisia na mimi siwachafui h. Nutrition ila hata ukisoma majukumu yao ya kazi ni very different na what hospital facilities need ndio maana nauliza kama hamna hao ma clinical nutrition hapa bongo bora hyo course ianzishwe au hao wa sua wabadilishe mtaala
Indonesia
1
0
0
12
Emmanuel pius
Emmanuel pius@EmPius·
@k_mjege Mkuu Tatizo Tz Hatuna Focus wala hatujui tunataka nini, Mtu umeenda kusoma afu utaki ufaulu vizuri, skills gani utafundishika na uwe competent kama darasani haufundishiki.
Indonesia
0
0
4
347
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Sawa Sawa. Hakuna dhambi kwenye kufanya vizuri kama unaweza. Kimsingi, kupata GPA nzuri inatakiwa kuwa wajibu na ndoto ya kila mwanafunzi; kwa kuwa ni moja ya kigezo cha kupata umahiri wa kimtaala; na kuajirika badae. Bora uwe na GPA kubwa; kuliko kuikosa Halafu badae ujutue kwa kukosa fursa fulani.
Tito Magoti@TitoMagoti

Mjadala wa GPA? GPA ni kwaajili yako. Sio kwaajili tu ya ajira ya BoT au big entities. Good score will open plenty of doors for you. Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma. Mengine - bahati na kudra, ni ziada!

Indonesia
6
11
63
4.2K
Emmanuel pius ретвитнул
Dr Andrew Suleh MD
Dr Andrew Suleh MD@andrewsuleh·
Knowledge is a start up capital
English
23
262
1K
19.2K
Emmanuel pius ретвитнул
Ambassador James G. Bwana
Ambassador James G. Bwana@JGBwana·
Leo tarehe 18.02.2026 nimempokea katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Bw. Ismail Seleman Mussa, Mshindi rasmi wa Tuzo ya Kimataifa ya Wanasayansi Chipukizi wa Nyuki Ulimwenguni (Panuwan Chantawannakul Award 2025). Tuzo hiyo ya Kimataifa hutolewa na Shirika la Kimataifa la COLOSS. Bw. Ismail ni Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo hiyo, na hivi sasa yupo nchini Afrika Kusini kutembelea Maabara za Nyuki katika Chuo Kikuu cha Pretoria, kwa ajili ya Utafiti unaohusu ulinzi w afya ya Nyuki. Aidha, Bw. Ismail ni Mgunduzi wa Maziwa ya Nyuki Tanzania na Mwanzilishi wa Taasisi ya Apis Bee Tanzania inayo jihusisha na utafiti, elimu, mafunzo na huduma za uzalishaji, ubora na matumizi ya Mazao ya Nyuki kwa afya ya Binadamu. Mwanasayansi huyo Chipukizi amejikita zaidi katika tafiti za Afya ya Nyuki na Kemia ya Mazao ya Nyuki katika Chuo Kikuu cha Zhejiiang nchini China. Wakati wa mazungumzo yetu, aliniarifu kuwa amefanikiwa kupata hadhi ya heshima nchini China kupitia ubunifu wake wa kudhibiti Wadudu hatarishi, kwa kutumia Kemikali wanazo tumia Nyuki kwenye mawasiliano yao (pheromones).
Ambassador James G. Bwana tweet media
Pretoria, South Africa 🇿🇦 Indonesia
0
13
64
4.7K
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Hossana! Fear is gone. Fear is dead! Thank God, Emmanuel!
English
3
32
215
4.1K
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika. Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia. Andaieni mawazo yenu — muda umefika! #Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
Indonesia
213
245
1.6K
103.5K
Emmanuel pius ретвитнул
The University of Dodoma
The University of Dodoma@udomtheofficial·
The University of Dodoma tweet mediaThe University of Dodoma tweet mediaThe University of Dodoma tweet media
Tanzania 🇹🇿 ZXX
9
41
153
34.3K
CAF Online
CAF Online@CAF_Online·
𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗣𝗹𝗮𝘆𝗲𝗿 𝗼𝗳 𝘁𝗵𝗲 𝗬𝗲𝗮𝗿 (𝗪𝗼𝗺𝗲𝗻) - 𝗡𝗼𝗺𝗶𝗻𝗲𝗲𝘀 #CAFAwards2025
CAF Online tweet media
English
27
99
601
52.7K
Emmanuel pius ретвитнул
Peter H. Diamandis, MD
Peter H. Diamandis, MD@PeterDiamandis·
I’m not worried about artificial intelligence. I’m worried about human stupidity.
English
292
316
2.5K
101.5K
Emmanuel pius
Emmanuel pius@EmPius·
@lucasmassawe_ Hi Massawe, Congratulations, just keep on pushing it's just a beginning, and still, you have a lot to make.
English
0
1
2
1K
Lucas Massawe
Lucas Massawe@lucasmassawe_·
Hello everyone, My name is Lucas Massawe from Tanzania 🇹🇿, and I’m incredibly happy to share that I’ve been selected for the most prestigious scholarship in the world – the Chevening Scholarship 2025/26 which is under the Government of United Kingdom(UK) From over 102,000 applications worldwide, only around 1,500 scholars were selected (1.5%) Out of the Tanzanians who were shortlisted for interviews, just 16 of us were chosen. I feel truly humbled to be among them. This September, I’ll be pursuing my Master’s in Global Health at one of the UK’s most beautiful universities, renowned for its top faculty and Career services – the University of Greenwich @UniofGreenwich in London. This journey wasn’t easy. I learned about the Chevening Scholarship in my third year of university and believed I would get it one day. At 25, I achieved it before finishing my pharmacy internship. God has been so good. It took months of preparation, late nights, and moments of doubt, but I stayed positive. I can’t explain how much motivation and support I received from my senior pharmacist brothers, Brother Josephat Hema @HemaJosephat and Brother @HamisiMsagama , who supported my passion from the beginning to the end. I had scheduled calls and Google meetings with them even at midnight. Thank you so much for making this dream possible. After I was shortlisted, my sister Winnie Aranya Itaeli Kweka and brother Ngusa Petrus Kalambo gave me mock interviews and full support. Thank you for helping me prepare and do my best. Thank you to my beautiful sister Maryanne Favour Ong'udi from Kenya, who introduced me to the Kenyan group where I had several mock interviews with the Kenyan community. She personally did a mock interview with me and was able to correct and add more information that greatly impacted my chances. Thank you to Professor Eliangiringa Kaale @eliangiringa1 , Professor Raphael Zozimus Sangeda @rsangeda , and Dr. Dr. Lwidiko Mhamilawa @Lwidiko for their recommendations, which made this life-changing opportunity possible. Thank you, Professor Eliangiringa Kaale, for always supporting me like your son. Thank you to my beautiful sister Priscilla Mawuena Adjeidu , who has been supporting my work, providing opportunities for me, and praying for me every single day. Thank you, brother Farhan Yusuf @faryus88 and brother Erick Gilbert , for advising me wisely in both life and career. You are indeed great people. I am not only happy for myself but also for my friends with whom I prepared together. God has been great because, out of four of us, three people were selected @meselineraphael , me, and Samwel Msuya), and one was placed on the reserve list. A heartfelt thank you to the UK Government through the Foreign, Commonwealth and Development Office, @FCDOGovUK, the British High Commission in Tanzania @UKinTanzania , and the University of Greenwich @UniofGreenwich of for this incredible support. Indeed, I’m grateful for 2025. Thank you, Mama and my father, for your prayers 🕊. I have finally reached another dream. I am very excited to join the Chevening Family and later on the Alumni network with masterminds @tonytogolani @TitoMagoti @MbelwaK @CarolNdosi and others. #ChosenforChevening #IamChevening @CheveningFCDO
Lucas Massawe tweet media
English
165
151
1.3K
89.9K
Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembo@MalemboLE·
Tanzania kuna fursa nyingi kwenye eneo la Data.
Filipino
18
13
242
12K