GAS FASTA

441 posts

GAS FASTA banner
GAS FASTA

GAS FASTA

@FastaGas

Faster, Cheaper Gas Delivery Service. Ensuring every home in Tanzania has access to clean cooking gas. ~ Press Link Below 👇🏻 to order your cooking gas NOW!

Присоединился Temmuz 2021
3.7K Подписки887 Подписчики
Закреплённый твит
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Moja kati ya changamoto inayojitokeza sana wakati wa kupika ni gas kukatika kabla ya pishi kukamilika , watu wa jikoni wanalijua hili ! @gas_fasta wanakupa ahadi ya kusahau kilio cha aina hii kuanzia leo kwa sababu #GasNiFasta popote ulipo. #GasNiFasta
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
1
0
1
301
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Great news! We are preselected for the Startupper of the Year by Total Energies. We need your likes 1- Click the link on our BIO 2- Sign up to vote 3- Search for GAS FASTA 4- Click on Like to vote for Gas Fasta 5- Share the link 🔗 startupper.totalenergies.com/en/juries/NosG…
GAS FASTA tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
1
2
7
462
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Pongezi kwa kutimiza miaka mitatu ya uongozi. Jitihada za Rais wetu Dkt. Samia Suluhu katika kuwafikishia Nishati safi ya kupikia kwa kila mtanzania imeleta tija kubwa.
GAS FASTA tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
1
155
GAS FASTA ретвитнул
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Ukosefu wa mitaji ni changamoto kubwa inayowakabili wasambazaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia, ila serikali na wadau wameanza kulifanyia kazi hili, fuatilia zaidi
Indonesia
4
19
31
5K
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Zoezi la utiaji wa saini wa hati ya makubaliano ya ushirikiano kati yetu na @CloudsMediaLive Makubaliano haya yanahusisha ushirikiano katika kutangaza, kusambaza na kutoa elimu juu ya matumizi ya Nishati ya Gesi chini ya @FastaGas #NishatiSafi | #GasNiFasta
GAS FASTA tweet mediaGAS FASTA tweet mediaGAS FASTA tweet media
Indonesia
0
5
10
441
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
@FastaGas haitachaji gharama za kufikishiwa Gesi mpaka mlangoni kwako, gharama itahusisha ule mtungi wa gesi au vifaa husika ulivyoagiza. Uharaka na urahisi ndio kitu pekee ambacho tuna uhakika kwenye huduma zetu. ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
GAS FASTA tweet media
Indonesia
1
5
4
453
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Kupitia teknolojia (application) ambayo mteja ataweza kuchagua aina, uzito na gharama anayoweza kulipia. Mteja anaweza kulipia kwa mfumo wa simu au kulipia kwa taslimu (cash). ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
GAS FASTA tweet media
Indonesia
3
6
7
635
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Lengo la kuanzisha mfumo wa @fastagas ni kupata suluhisho kwa watumiaji wa nishati katika shughuli zao. #GASFASTA inarahishisha upatikanaji wa urahisi na haraka na gharama nafuu. Hii suluhisho la changamoto zinazotokea. ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
GAS FASTA tweet media
Indonesia
0
3
7
210
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Leo ni mwanzo wa safari iliyochochewa na ushirikiano, uvumbuzi, na dhamira ya pamoja ya kuboresha maisha ya wananchi. Ushirikiano wetu na Clouds ni uthibitisho wa nguvu ya hatua za pamoja na imani kwamba kwa kushirikiana, tunaweza kufanikisha mengi. ~ @albeiti91  #GasNiFasta
GAS FASTA tweet media
Indonesia
1
4
5
181
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
Nafasi yangu leo nikurasimisha Ushirikiano huu na @FastaGas katika kuongeza uelewa na kusaidia akina Mama ambao ni watumiaji wakubwa wa gesi katika shuguli zao za kila siku. ~ Elikimbilio Kitoi - HR @CloudsMediaLive #GasNiFasta | #NishatiSafi
GAS FASTA tweet media
Indonesia
1
3
5
154
GAS FASTA
GAS FASTA@FastaGas·
“Kwa mara ya kwanza kuhudhuria kwenye kipindi cha Leo tena, kama dhumuni la Clouds kufungulia watu dunia. Leo tuko hapa kama Clouds kushirikia na @fastaGas kuwafungulia dunia akina Mama kutumia gesi kwenye natumizi.” ~ Elikimbilio Kitoi - HR @CloudsMediaLive #GasNiFasta
GAS FASTA tweet media
Filipino
0
4
4
212
GAS FASTA ретвитнул
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
Happening now, the launch of the #GasNiGasFasta campaign with our strategic partners @CloudsMediaLive #LeoTena show. Our campaign slogan is, "Nishati Safi, Afya ya Mama, Furaha ya Familia". Our mission at @FastaGas is to democratize access to clean cooking gas to grassroots communities in Tanzania. We provide ease of access, convenience, faster and affordable cooking gas. #GasNiGasFasta
Jumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet media
English
0
7
13
2K