#NiYeye
47.8K posts

#NiYeye
@InnocentJLS
I ❤️ Jesus | Nimeketishwa pamoja na Kristo kwenye ulimwengu wa Roho🙏🏻









Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?




🤔


Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z💪



Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya TZS bilioni 187 hadi bilioni 338.54 kwenye mkataba kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya CAF. Msigwa amesema mpango wa ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kabla Tanzania haijapata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.






